Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

Wadau nami nadaiwa kodi ya miezi mitatu 900,000/= naomba msaada wenu. nina mke na watoto watatu. kutoa ni moyo. natanguliza shukrani za dhati.
 
Cm yako ulotumia kuandika hapa iuze, utapata hela ya mtaji wa u shoe shiner,tafta kijiwe chonga meza,nunua kiwi kazaa,pia weka meza ya magazeti, mwenye nyumba MPE ahadi ,Piga kazi, furusa zingine zitakukuta kijiweni, gharisha viatu,sahivi msimu wa tope wateja kibao, hukosi 15000 kwa Siku.....Ukishindwa nitext nitakusaidia Wazo jingine 0784009535
 
mimi hizi huwa naziita tenda za kuniingizia pesa nyingi.

hapa nafikilia kazi ya kukupa nipate kigezo cha kukusaidia. .Maana kwa maelezo yako sio mgonjwa bali ni ukata tu.
mambo yote yatafanyika baada ya kuwa officially verified.

kama utaona nakutesa kwa utaratibu wangu, utapata mchango wa jumuia kama mod wakikuverify.

naamini katika kazi sio kugawa fweza kwa mtu anayejiweza.
 
Hiyo akutumie kwa siri msg naufuatilie ila wadau tuendelee kumchangia ndugu yetu

kwa siri tena? hapa ni JF, akijibu maswali hayo wapo watu watafuatlia na kusema ni kweli au sio kweli. atume hapa hapa kila anayehitaji kufuatilia afuatilie na atupe nini amegundua.
 
NAJITOLEA KUWA AJE KWANGU NITAMPA CHUMBA HUKU MADALE PIA NITAMSAIDIA KUMTAFUTIA SAITI YA KUKAA AMBAYO HATOKUWA ANALIPA KODI.NINGEMWAMBIA AISHI KWANGU HADI YEYE ATAKAPO PENDA KUONDOKA ILA BADO SIJAMALIZIA FINISHING VIZURI.MKUU NAOMBA uniPM ILI KESHO UJE MADALE NAKUAHIDI NITAKUPA CHUMBA NA NITAKUTAFUTIA SAITI AMBAYO HUTOLIPIA KODI
 
Back
Top Bottom