Teh teh teh una kazi ndugu, pole sana hilo ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi wenye umri kati ya miaka 18-28, mimi mwenyewe niliwahi kukumbwa na tatizo hili kutokana na kuogopa sana wasichana na hivyo kubaki kuumia tu na kuishia kupiga nyeto. Ushauri: tafuta msichana ambaye atakuwa anakizi mahitaji yako nadhani utaondokana na shida hiyo.
Hapana Mkuu, nilijitosa kwa mrembo mmoja ambaye leo hii ndiye mai wafu wangu.Wewe utamtafuta wapi wa kumalizana naye? Wa kununua au?
Mkuu, huu mchezo ukishauzoea ni vigumu sana kuuacha kwani una kuwa ni kama kilevi flani hivi, kweli una punguza nguvu za kiume pale unapozidisha kipimo maana kuna watu wengine kwa siku wana piga nyeto hadi mara 5 na kuendelea..Mchezo wa kujichua utamletea ukosefu wa nguvu za kiume, ajikite kwenye michezo, kwa mfano anaweza kimbia kila asubuhi km 5 hivi atasahau kila kitu.
Anaomba msaada wenu!He has a big problem with his studies. He is not able to do well in his exams. He scores less and many times he think about girls, sex and he do musterbate alot. He need your urgent help!
**********************
Nilimwambia na anajua nikiwa safarini ndio huwa nafanya ako kamchezo mara 1-1.hivi ulimwambia kwamba ulikuwa unajipa mapenzi binafsi?!
Anaomba msaada wenu!
**********************
He has a big problem with his studies. He is not able to do well in his exams. He scores less and many times he think about girls, sex and he do musterbate alot. He need your urgent help!
Mchezo wa kujichua utamletea ukosefu wa nguvu za kiume, ajikite kwenye michezo, kwa mfano anaweza kimbia kila asubuhi km 5 hivi atasahau kila kitu.
Sasa anataka msaada gani, tumtafutie girlfriend au tumsaidie kumfayisha musterbation?
Hivi inapunguza nguvu za kiume au inapunguza hamu kwa wanawake wa real. Mi nadhani ni ya pili na hii ni kutokana na kuwa huoni kuwa unawahitaji sana wakati unaweza kujiridhish mwenyewe, yaani your hand ni rahis zaidi kuliko kwenda kutongoza
Inasemekana kuwa ile concentration inayotumika kuvuta hisia kwenye tendo hilo, hufanya mtenda kuona raha ambayo ni balaa, sasa kama unavyosema na urahisi wa tendo basi jamaa akiwa na mwanamke wala haoni chochote na hawezi...