Nina uhakika kwa hali ya sasa...tukitoa portion ya ubongo...

New2JF

Senior Member
Oct 25, 2011
123
27
'' Kwa hali ilivyo sasa hasa kwa wa-tz walio wengi vijana....tukitoa portion inayohifadhi masuala ya elimu ya darasani na kumuacha aishi, wengi watakua vichaa kama sio watakufa mapema maana wengi hawana kitu tunaita akili ya maisha ''informal education''!!!

Yaani kuna wanafunzi wanasoma ili mradi afaulu tu!!! sasa kama huyu ukimuondolea hiyo sehemu ya ubongo inayo-control shule...tutawaokota wengi!!!
 
Pumba puma pumba
 
Back
Top Bottom