Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

Kwa taaluma yako unatakiwa kuwa pale ustawi wa jamii. Ninyi ni watu muhimu sana. Sababu sociology inahusika sana katika mbinu na kuijenga jamii sahihi.

Mimi nilisoma kama course material yake yalinisaidia sana kuelewa jamii inakwendaje...
 
Kuna stori moja hivi.

Jamaa aliitwa kwenye interview mahojiano yakawa hivi:

Bosi: Tukikuajiri unataka tukulipe shilingi ngapi?

Kijana: Milioni 1.

Bosi: Unaonaje tukakulipa milioni 2 na nusu?

Kijana: Bosi acha masikhara!!!?

Bosi: Masikhara umeyaanza wewe mi namalizia tu hapa.
 
Mkuu kupata kazi kunatokana na bahati ya familia anayotoka mhusika, Kuna familia ambazo zinasoma kwa kuwa SASAHIVI wigo wa elimu umepanuka, Ila ukirudi kwenye chimbuko la familia hakuna hata aliyewahi ajiriwa, kwa kiasi Kikubwa watu huwa wanasahau hiki kipengele

Siyo ukubwa wa Elimu, kumbuka Vyeti bado vinahitaji uvitete ili upate Ajira maana Vyeti Ni makaratasi. Kwa hivyo Kuna watu wakishasoma hawajui kutafuta kazi, kutafuta kazi Ni kazi kubwa kuliko kusoma Masters inahitajj uwe master mind.
Hii kweli kabisa
 
We bado ujapigika na life la kitaa kumbe yan had unjipangia mshara!? Una uzoefu,bado ni fresh graduate alaf unapanga mshara kweli!?

Ushauri wangu: unapo tafta kaz na hauna uzoefu ebu usitangaze kwanza mshahara unaoitaji hadharani, na kwa sasa ajira zimekuwa ngumu hasa kwa fresh graduate kwaiyo nivizuri kama ungetafta NGO hasa vile za mashirika ya wakimbizi uombe kufanya internship Hii itakusaidia kupata uzoefu.

Pili usiangaike kutafta kazi kwa kuangalia mshahara, fanya kazi yeyote inayohusiana na field yako ili kupata uzoefu zaidi.
Jiajiri
 
Uko vizuri sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom