Nina mpango wa kuanzisha Umoja wa walipa Kodi.

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,399
Umoja huu utaitwa Taxpayers Alliance.

Umoja huu utaangalia fwedha yote ya walipa kodi inatumikaje na itaomba ushirikiano wa karibu na kamati ya fwedha ya bunge.

Pia "Code of Conduct" na kanuni zote za wabunge zitaangaliwa na kufuatiliwa kwa undani.

Nnataka wanasiasa walazimishwe kuwasikiliza wananchi wa kawaida.

Nnataka kuona kwamba barabara, hospitali na shule zinakuwa zinaboreshwa kimuundo na kitaaluma.

Wakati wa kufanya mabadiliko umefika.

Naomba kutoa hoja.
 
Last edited:
Back
Top Bottom