Nina milioni 2 natafuta gari ndogo iliyotumika ili niifanyie kazi zangu

PMWAKA

Senior Member
Aug 29, 2019
191
206
Hello! Habari wakuu,

Niende direct kwenye mada, kutokana na shughuli zangu ninazozifanya kwa sasa, nalazimika kutafuta usafiri wowote mdogo wa gari (gari ndogo) ili kurahisisha kazi yangu na kuwafikia watu wengi zaidi pamoja na kufanikisha delivery zangu za kila siku, pia sababu natumia pesa nyingi sana kwa kutumia public transport.

Nina kiasi cha million 2 kwa sasa, nafahamu ni kiasi kidogo, hivyo kwa yeyote mwenye gari yake ambayo imepack au haitumii au anaweza tu kuniuzia japo inatumika tafadhari naomba niuzie (kind of help) gari isiwe na engine Cc kubwa, angalau iwe mwisho 1490.

Unaweza kunicontact through : 0764320475
Natanguliza shukrani.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni 2 unataka gari?
Ndio ndio, gari ya 2M, najua ni ndogo ila zipo. Naongelea used cars (used in Tz) yakutumia kwa muda tu wakati najichanga, ili walau nisipoteze wateja wangu at this moment kisa usafiri, thats why nahitaji mtu anaeuza kwa emergency au anaweza nisaidia kwa kumiuzia kwa hiyo bei. Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom