Huwaamini madaktari? Wabongo katika ubora wetuTangu jana nimekuwa nikiharisha damu. Sina maumivu yoyote ya tumbo na wala sipandishi homa.
Leo nimeenda hospitali wamenipa dawa za minyoo. Je minyoo inaweza kusababisha uharishe damu?
Au ndio nimekutana na daktari kihiyo?
Ndiyo ila haamini kama yaweza mvujisha bloodMinyoo umepima?
Itakuwa ana minyoo ya amoeba hiyo mara nyingi unaweza kupata choo chenye damuCharles kilian ushauri wako tafadhali
Yeah,kabisaItakuwa ana minyoo ya amoeba hiyo mara nyingi unaweza kupata choo chenye damu
SawasawaHao minyoo wa kichawi
Una posibility kubwa ya kuanza bawasiliTangu jana nimekuwa nikiharisha damu. Sina maumivu yoyote ya tumbo na wala sipandishi homa.
Leo nimeenda hospitali wamenipa dawa za minyoo. Je minyoo inaweza kusababisha uharishe damu?
Au ndio nimekutana na daktari kihiyo?
Pia sidhani kama ni Ulcers maana mpaka muda huu ninaandika ninazo na huwa zikichachamaa tumbo linauma unaweza kupiga ukelele wa kuomba msaada, pamoja na hayo sijawahi pata choo chenye damu hivyo sidhani kama ni Ulcers.