Nimewasilisha malalamiko yangu Sekretariati ya Maadili dhidi ya Pauline Philipo Gekul (Mb)

Labda ulichisasahau Mh Nondo ni ukweli kuwa Gekul ni mtuhumiwa; hajapatikana na hatia.

Malalamiko uliyopeleka huko ushamhukumu tayari. Ndivyo mnavyoendesha chama chenu? 😆😆
 
Kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura. No.398( R.E 2020) kifungu cha 25(1) kinachotoa fursa kwa mtu yeyote kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya kiongozi wa Umma juu ya uvunjifu wa sheria ya Maadili ,pia
Uislam ni mateso sana unafanya mijitu iwe kama ngedere kwenye mihemko ya chuki, wanapakua mpalange hao wahuni, tuache unafiki
 
Kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura. No.398( R.E 2020) kifungu cha 25(1) kinachotoa fursa kwa mtu yeyote kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya kiongozi wa Umma juu ya uvunjifu wa sheria ya Maadili ,pia kwa mujibu wa Katiba 1977 ibara ya 26(2) inayotoa agizo la wajibu na haki kwa kila mtu kulinda katiba ya JMT na sheria zingine za nchi.

Leo tar.27/Novemba/2023 nimewasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul juu ya tuhuma zinazoendelea dhidi yake juu ya unyanyasaji dhidi ya Hashimu Ally Philimone.

Nikiamini ya kwamba Pauline Gekul amevunja sheria ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura No.398 (R.E 2020) kifungu cha 6(1)(a) na 6(1)(b)(i) vifungu hivi vinahitaji viongozi wa Umma kutenda majukumu yao ya kiofisi hata majukumu binafsi kwa kuzingatia Maadili, uaminifu, huruma na uadilifu.

Hivyo, nimewasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili iliyopo chini ya Ofisi ya Rais ili Ofisi yake ianze uchunguzi dhidi ya tuhuma hizi kwa mujibu wa Katiba ya JMT 1977 ibara ya 132(1) na sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Sura 398 [R.E 2020)] kifungu cha 16(2)(b)(c)(e), 25(2)(b) na 25(4-7). Na ikiwa itathibitika kwamba tuhuma hizi dhidi ya Pauline Gekul basi Gekul atakuwa amevunja masharti ya sheria ya Maadili ya viongozi wa Umma kifungu cha 6(1)(a) na 6(1)(b)(i). Na hivyo moja kwa moja Pauline Gekul atakoma kuwa Mbunge wa JMT.

Kwa mujibu wa katiba ya JMT 1977 ibara ya 71(1)(d) inasema kwamba "Mbunge atakoma kuwa Mbunge ikiwa itathibitishwa kwamba amevunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma". Nimewasilisha flash-Memory yenye ushahidi wa Video ya Dakika 14 kutoka Gaditv

Pia nimetuma nakala kwa Spika wa Bunge, Ofisi ya Rais Ikulu na Katibu Mkuu Chama cha Mapinduzi (CCM).

Ahsante. Unaweza Soma barua ya malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma.

Abdul Omary Nondo.
Mwenyekiti wa Ngome ya vijana Taifa -ACT Wazalendo

Braza Nondo unapoteza muda na Hawa majaji wa CCM wanaopewa ulaji kwenye hiyo tume baada ya kustaafu? Hii mijitu huwa Haina meno nazifahamu. Nimekaa paleee!
 
Abdul Nondo una siasa za kisomi. Utafika mbali. BAVICHA wako kimya kama vile Hashim sio kijana mwenzao.
Tuna watu wajinga sana, kua mjitu akili zao wanafiri kutetea haki inahitaji wanasiasa tu huku lenyewe linajitoa kama halihusiki, wewe umefanya nini sio kusubiri wengine wafanye?
 
Mimi ndo nilimkamata shost yako Gekul wakati akitaka kutoroka.
 
Kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura. No.398( R.E 2020) kifungu cha 25(1) kinachotoa fursa kwa mtu yeyote kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya kiongozi wa Umma juu ya uvunjifu wa sheria ya Maadili ,pia kwa mujibu wa Katiba 1977 ibara ya 26(2) inayotoa agizo la wajibu na haki kwa kila mtu kulinda katiba ya JMT na sheria zingine za nchi.

Leo tar.27/Novemba/2023 nimewasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul juu ya tuhuma zinazoendelea dhidi yake juu ya unyanyasaji dhidi ya Hashimu Ally Philimone.

Nikiamini ya kwamba Pauline Gekul amevunja sheria ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura No.398 (R.E 2020) kifungu cha 6(1)(a) na 6(1)(b)(i) vifungu hivi vinahitaji viongozi wa Umma kutenda majukumu yao ya kiofisi hata majukumu binafsi kwa kuzingatia Maadili, uaminifu, huruma na uadilifu.

Hivyo, nimewasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili iliyopo chini ya Ofisi ya Rais ili Ofisi yake ianze uchunguzi dhidi ya tuhuma hizi kwa mujibu wa Katiba ya JMT 1977 ibara ya 132(1) na sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Sura 398 [R.E 2020)] kifungu cha 16(2)(b)(c)(e), 25(2)(b) na 25(4-7). Na ikiwa itathibitika kwamba tuhuma hizi dhidi ya Pauline Gekul basi Gekul atakuwa amevunja masharti ya sheria ya Maadili ya viongozi wa Umma kifungu cha 6(1)(a) na 6(1)(b)(i). Na hivyo moja kwa moja Pauline Gekul atakoma kuwa Mbunge wa JMT.

Kwa mujibu wa katiba ya JMT 1977 ibara ya 71(1)(d) inasema kwamba "Mbunge atakoma kuwa Mbunge ikiwa itathibitishwa kwamba amevunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma". Nimewasilisha flash-Memory yenye ushahidi wa Video ya Dakika 14 kutoka Gaditv

Pia nimetuma nakala kwa Spika wa Bunge, Ofisi ya Rais Ikulu na Katibu Mkuu Chama cha Mapinduzi (CCM).

Ahsante. Unaweza Soma barua ya malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma.

Abdul Omary Nondo.
Mwenyekiti wa Ngome ya vijana Taifa -ACT Wazalendo

Huu hujaandika wewe umeandikiwa na kina Jebra
 
Mkuu Abdul Nondo, hongera sana kwa hatua hii, wewe ulipaswa kuwa mwanasheria kabisa, ili usiishie kuandika barua tuu ya malalamiko bali kuwa prosecute watu kama hawa na sio tuu kuwaripoti time ya maadili, bali pia tume ya Haki za Binadamu na kumpandisha kabisa kwa Pilato!.
Big up sana!.
P
 
kwa nini usipeleke bakwata au sijui balukta? Mahakama, sekretariati za maadili zote ni “mifumo kristo”, pelekeni kwenye mifumo yenu ya kiislamu ya kupiga mawe mpaka kifo …
 
Kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura. No.398( R.E 2020) kifungu cha 25(1) kinachotoa fursa kwa mtu yeyote kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya kiongozi wa Umma juu ya uvunjifu wa sheria ya Maadili ,pia kwa mujibu wa Katiba 1977 ibara ya 26(2) inayotoa agizo la wajibu na haki kwa kila mtu kulinda katiba ya JMT na sheria zingine za nchi.

Leo tar.27/Novemba/2023 nimewasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul juu ya tuhuma zinazoendelea dhidi yake juu ya unyanyasaji dhidi ya Hashimu Ally Philimone.

Nikiamini ya kwamba Pauline Gekul amevunja sheria ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura No.398 (R.E 2020) kifungu cha 6(1)(a) na 6(1)(b)(i) vifungu hivi vinahitaji viongozi wa Umma kutenda majukumu yao ya kiofisi hata majukumu binafsi kwa kuzingatia Maadili, uaminifu, huruma na uadilifu.

Hivyo, nimewasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili iliyopo chini ya Ofisi ya Rais ili Ofisi yake ianze uchunguzi dhidi ya tuhuma hizi kwa mujibu wa Katiba ya JMT 1977 ibara ya 132(1) na sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Sura 398 [R.E 2020)] kifungu cha 16(2)(b)(c)(e), 25(2)(b) na 25(4-7). Na ikiwa itathibitika kwamba tuhuma hizi dhidi ya Pauline Gekul basi Gekul atakuwa amevunja masharti ya sheria ya Maadili ya viongozi wa Umma kifungu cha 6(1)(a) na 6(1)(b)(i). Na hivyo moja kwa moja Pauline Gekul atakoma kuwa Mbunge wa JMT.

Kwa mujibu wa katiba ya JMT 1977 ibara ya 71(1)(d) inasema kwamba "Mbunge atakoma kuwa Mbunge ikiwa itathibitishwa kwamba amevunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma". Nimewasilisha flash-Memory yenye ushahidi wa Video ya Dakika 14 kutoka Gaditv

Pia nimetuma nakala kwa Spika wa Bunge, Ofisi ya Rais Ikulu na Katibu Mkuu Chama cha Mapinduzi (CCM).

Ahsante. Unaweza Soma barua ya malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma.

Abdul Omary Nondo.
Mwenyekiti wa Ngome ya vijana Taifa -ACT Wazalendo

mkuu fikiria nje ya box pia
hili tukio linaweza kuwa la kupanga ili kumtoa madarakani mtu aliyekuwa kwenye upinzani enzi hizo
Au wewe una ushahidi wa bila shaka kwamba tukio lina uhalisia
 
hahahaha nakumbuka NASARI alipeleka flash TAKUKURU baadae akaja kununuliwa na kukimbilia
 
Back
Top Bottom