Nimewamis hawa watu sana jamani jamani

umeanza lini kupika majungu ya ubwabwa? :nerd:
Umeona ubwabwa made ny Mamndenyi?

attachment.php



Majungu ndo yananogesha mambo,
lazima ummalize Asprin ili Kashangaki apite kilaini.

Vita yako itashindwa tu!!
 
Last edited by a moderator:
jamani jamani mwache platozoom ma swt bro mbona hivyo jamani hasa weye Asprin, Kaizer ma swtlo na Preta
ooopppsssss tena nakutafuta nikujuze hali ya mum my dear platozoom!! nani tena huyu mod tuandamane jamani?? pole mwaya! ila nitakutembelea mitaa ile, maana ulinifaa wakati wa machungu yangu, sina budi kukufaa pia hapa! lol, pole sana but we are together Amsterdam!
 
Last edited by a moderator:
maisha kila siku yanakuwa magumu Amsterdam tunatafuta namna ya kutoka ..
Karibu tena jamvini
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom