Nimewajibu CHADEMA mkutano wa Mbozi, tutaimaliza CHADEMA kwa mikono yetu

Status
Not open for further replies.
Mkuu, mlitumia sh ngapi kuwasomba watu kuwaleta kwenye mkutano kisha kuwarudisha makwao?
Si hilo tu, na gharama za sare mashati, vitenge na kofia za CCM manake hapo zaidi ya 80% wana sare za CCM kwa hiyo walikuwa wanawahutubia watu wao walewale ambao hawaji mkutanoni hadi wapate vitenge ila siku ya kura wanajua nn cha kufanya.
 
Kaniambia nifuatilie matamko yake hapa hawezi kunijibu. Sasa sijui matamko anatoleaga wapi! Kwa kweli Inabidi CHADEMA wanapochagua viongozi wachukue tahadhari ya ziada maana sijui watu kama akina Juliana Shonza waliingia je CHADEMA.Yaani namuuliza maswali ya kawaida tu ambayo hata baba anaweza kumuuliza binti yake anaechelewa kurudi nyumbani lakini anashindwa kuya jibu, sasa siku akiwa kiongozi wa nchi si itakuwa majanga kila siku?

Baba : Kwa nini unachelewa kurudi nyumbani?
Binti : Fuatilia tu utajua mwalimu alinipa kazi gani!
 
Wakati wengine mmejikita katika kuangalia "nyomi", mimi naangalia reaction ya hiyo "nyomi". Haiwezekani kipenzi cha watu mzee Mwampamba anarudisha kadi ya CHADEMA halafu anashangiliwa na watu wawili tu.

601657_372188509551895_1809768920_n.jpg


Licha ya kwamba kuna kila dalili watu hawa wameletwa na "mafuso" lakini ni vema kujua kuwa wengi wanataka kusikiliza upumbavu wenu.

Picha zinajieleza vizuri sana....

chadema inakufa, ni suala la muda tu, hata lwakatare anajua
 
Nimekuwa nikisikia habari za kijana mwanasiasa anaeitwa Mwampamba. Thread hii leo nimepata angalau kujua huyu ni mtu wa namna gani. Anahitaji kupata washauri wazuri (Sio Mwigulu na Lusinde) ili wamuongoze kama kweli anataka kudumu katika siasa vinginevyo kwa mwendo huu ambapo naona kama ni mpiga kelele tu kwani katika sentensi zake 5 you can hardly pick a point. Siasa za CCM watanzania wanazijua. Uwingi wa watu kwenye mkutano wa CCM hauashirii kukubalika bali ni juhudi ya matawi katika wilaya au mkoa kushawishi na kulipia gharama za posho ya watakao sombwa kwenda kwenye mikutano kama hii ya Mwigulu et al. Jipange na uwe na malengo kwani inaonekana bila Mwigulu usingeweza kufanya mkutano na watu wa kwenu.

Mkutano wa CCM hata mie siwezi kuukosa,ni nani atakubali kuacha elfu kumi ya dezopamoja na pilau?lakini kwenye kura ndo tutashindwana!
 
Mkuu wakati mnaendelea na ziara ya kuitukana CHADEMA CHAMA MAKINI:, Hebu jaribu kupitia hii ahad ambayo baba riz aliitoa 2010, na kuapa kuitekeleza ndan ya mwaka mmoja.! "Tutahakikisha tunaunganisha shule zote za sekondari nchin katika mtandao wa mawasiliano{intanet} na pia tutahakikisha kila shule ya sekondari inapatiwa walimu wanne wenye ujuzi na uwezo katika masuala ya intanet" vp kashatekeleza au bdo, usnipe jibt..!? Na pia wakat ukiendelea ziara ya kumkashfu Dr.SLAA CHAGUO LA MUNGU hebu jaribu kukumbuka hii ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania alaf uwaangalie watanzania unaowahutubia kama wameshapata maisha bora...!amekweli nimeamin NJAA ni mzazi wa USALITI...!
 
Safi sana Mwampamba, kuna jamaa wa Bavicha walikuwa wanataka picha.

Picha za kupiga baada ya kusomba watu kwa magari kutoka karibu wilaya nzima,huu ndio umati wa
kujidanganya wenyewe'
 
Matamko yako! haya dada july ngoja nifuatilie matamko yako.Matamko yako huwa unayatolea wapi hasa ili nifuatilie kwa kuwa hapa umekataa kunijibu?
We dogo umetumwa?muda mrefu nimekaa nakupimia tuu unavyomsumbua 'my wife to be'ebu koma sawa?tena potea kabisa eneo hili,nyambafu!
 
tatizo la vijana wa nchi hii tunatumika vibaya na mwisho kuachwa, kwa stail hii mtela hana muda ccm na wameshamjua ndo maana wamemfanya mwanapropaganda, nafasi ya nape hiyo, ukishatumika utatupwa pembeni kama kapi, nilidhani ungekuja na hoja za msingi mlizojadili za kuweza kuwakwamua wana mbozi kwenye wimbi la umsakini bt hakuna kitu.
 
wewe kabla ya kufukuzwa CHADEMA ulikuwa tayari unajua kwamba 2015 CHADEMA haitashinda; au umejua baada ya kufukuzwa? kama ulikuwa unajua kabla lakini ukawa unaikumbatia hadi kufukuzwa bila shaka wewe ni mnafiki mkuu, na kama umejua baada ya kufukuzwa, kuna mambo mawili;Ima wewe ni jembe sana na wewe pekee ndio ungeweza kuifanya chadema ishinde, au una kawaida ya kutojielewa unapokuwa ndani ya chama fulani mpaka pale unapofukuzwa.Kwa sababu hiyo basi; hata CCM huwezi ukaelewa status yake kwa sasa mpaka hapo watakapo kututimua baada ya kumaliza kukutumia.

Tena huyu mdada aliapa kabisa kwamba hatambui kutimuliwa na yule aliyemuita WEGESA SUGUTA ,na kwamba ataendelea na kazi zake za BAVICHA kama kawaida ! Na kwamba PATACHIMBIKA ! Kweli NIMEAMINI dhiki ya mali haitofautiani sana na dhiki ya akili ! Bali Wahenga waliwahi kunena siku zile kwamba Tofauti ya wanyama na Binadamu iko kwenye AIBU , sasa unapoona kuna binadamu anakosa hiyo kitu anza kumtilia Mashaka !
 
Nia yao ilikuwa kuwagawa watanzania ili wao walivyo wabinafsi waje wajitangazie jamhuri yao ya watu wa kaskazini hawa jamaa mwisho wa ujasiriamali wao wa kisiasa umefika mwisho

Hata hofu ya Mungu kidogo huna ili usiseme uongo,binti kumbuka ni wapi ulipoanguka urudi ukatubu'
 
Wapi msaga sumuuuuuuuuuuu a.k.a weka mbali na zzk
njoo hapa usaidiane na wenzio wa ufipa wana hali tete leo kikosi kazi cha Lumumba kimeichakaza vibaya sana genge la vibaka wa ufipa
Kwa mziki kama huu kunawatu lazima watafute pa kujificha siasa za leo zinataka hoja na uwajibikaji chadema inabidi mkae na kubuni mbinu zingine vinginevyo lazima muwe nje ya reli.
 
Angalieni msije mkasahau kuwarudisha watu makwao kwa kisingizio cha malori yamepata breakdown kama ile siku mlivyoshindwa kuwarudisha watu monduli na terat

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
tanzania kazi ipo, kama kunawatu bado wanashabikia CCM. na mbaya zaidi unakuta watu wana hongwa kwa vitu vya kipuuzi kabisa.Naililia nchi yangu Tanzania, lini tutatoka katika ujinga wa mawazo?

Wile Gamba usitishe kabisa,nguvu na rasilimali walizotumia kwa ajiri ya mkutano ni nyingi sana, 99% ya waliohudhuruia hawakuwa wazawa wa mlowo,walisombwa kutoka Tukuyu,mbeya mjini,itaka,isalalo and wasa,ijumaa iliyopita ccm walitakiwa kufanya mkutano kijiji cha chizumbi,yaliowakuta ni aibu imebidi wahairishe ili wasombe watu kutoka ukwile na kuwapeleka chizumbi!!!!!Mtela field mnahali mbaya sana nadhani unajua hali ilivyokuwa jana mr Ganzi na ulinzi wa polisi 30,,,,,,
 
Usaliti unakutesa sana, vipi, ulienda kumsalimu mama yako mzazi, ambaye ni diwani wa CHADEMA viti maaluma? Mshua nae vipi bado analilia uanachama wa CHADEMA? ni kwanini usimshawishi ahamie CCM kuliko kuing`ang`ania CHADEMA?

Naunga mkono hoja
 
Wana Jf "MWIBA HUTOKEA ULIPOINGILIA"
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kabisa kwa wanambozi,chama dume chama cha mapinduzi kwa mkutano mkubwa na wakihistoria nilioufanya jana nikiwa nimeongozana na Jemedali wa kisiasa comrade Mwigulu Nchemba,Juliana Shonza na viongozi wengine.

Wanambozi mmewajibu vijana wa CHADEMA na viongozi wao kuwa Mbozi ni ardhi ya watu waelewa na sio kitoweo cha wajinga.

Nimefanya mkutano kuwajibu wale wote wanaokesha mitandanoni kujifurahisha eti Mbozi hakuna CCM,eti Mbozi kuna CHADEMA. Mimi ndio nimeipeleka CHADEMA Mbozi,na kwa mikono yangu naiua CHADEMA Mbozi

"If u can just Join the game and feel the taste of Mwampamba"

Tumeshawaonesha CHADEMA kwamba CCM ni zaidi yao,hatuwezi kupambana na sisimizi kwenye uga wa siasa.

Juliana Shonza na mimi tutaitumikia CCM kwa nguvu zetu zote na kwaakili yetu yote tena kwa kujitolea.


Kilichonishangaza ni kuona sioni hata kija wa CHADEMA aliyesogelea,Niliishia kubebwa na kupandishwa jukwaani.siasa hatufanyi mitandaoni vijana wa chadema,Kukesha kwenye keyboard sio Field.
ID YA MPEPO(IMEVUMISHA UONGO WA WAZI KABISA KWAMBA MTELA MWAMPAMBA NIMESHUSHWA JUKWAANI.NK)
H
I
I ID siku zote imekuwa ikitumika kuchafua jina langu,na mhusika wake namjua na ndiye aliyezunguka mikoani nilipokuwa chadema kwenda kunichafua,na alifika mbozi kutengeneza mazingira ya kuandaa vijana walete vurugu lakini wanambozi si kitoweo cha wajinga wamemtosa na nidhani yeye ndiye aliletewa vurugu.
Imemuuma sana kuona umati ule,Namna mkutano ulivyokuwa mkubwa.Pole sana Mpepo,mwambie dr.slaa mimi naitwa Mtela allam mwampamba jiwe walilowakataa waashi sasa jiwe kuu la PEMBENI.
Nakanusha kabisa kabisa hakuna vurugu wala dalili yoyote ile ya uwepo wa hizo vurugu walizozizoea chadema.mkutano ulimalizika kwa amani kabisa,sasa nipo Mkoa wa pwani tayari kwa kazi ya kichama.
CHINI
Baba mzazi mzee Mwampamba akirudisha takataka za chadema mbele ya Jemedari Mwigulu Nchemba nyumbani mlowo.

Mzee Allam Mwampamba akiwa ndiye muasisi wa vyama vingi wilayani mbozi ameamua kauchana na siasa za majungu,kinafiki za chadema na kujiunga na CCM.Amesema ni bora viya ya kupambana na mafisadi kuliko vita ya ukabila,umwagaji damu na ukdanda ndani ya hivi vyama vya upinzani(CDM0





Kumbe we na baba ako wote mmeolewa
 
wana jf "mwiba hutokea ulipoingilia"
napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kabisa kwa wanambozi,chama dume chama cha mapinduzi kwa mkutano mkubwa na wakihistoria nilioufanya jana nikiwa nimeongozana na jemedali wa kisiasa comrade mwigulu nchemba,juliana shonza na viongozi wengine.

Wanambozi mmewajibu vijana wa chadema na viongozi wao kuwa mbozi ni ardhi ya watu waelewa na sio kitoweo cha wajinga.

Nimefanya mkutano kuwajibu wale wote wanaokesha mitandanoni kujifurahisha eti mbozi hakuna ccm,eti mbozi kuna chadema. Mimi ndio nimeipeleka chadema mbozi,na kwa mikono yangu naiua chadema mbozi

"if u can just join the game and feel the taste of mwampamba"

tumeshawaonesha chadema kwamba ccm ni zaidi yao,hatuwezi kupambana na sisimizi kwenye uga wa siasa.

Juliana shonza na mimi tutaitumikia ccm kwa nguvu zetu zote na kwaakili yetu yote tena kwa kujitolea.


Kilichonishangaza ni kuona sioni hata kija wa chadema aliyesogelea,niliishia kubebwa na kupandishwa jukwaani.siasa hatufanyi mitandaoni vijana wa chadema,kukesha kwenye keyboard sio field.
id ya mpepo(imevumisha uongo wa wazi kabisa kwamba mtela mwampamba nimeshushwa jukwaani.nk)
h
i
i id siku zote imekuwa ikitumika kuchafua jina langu,na mhusika wake namjua na ndiye aliyezunguka mikoani nilipokuwa chadema kwenda kunichafua,na alifika mbozi kutengeneza mazingira ya kuandaa vijana walete vurugu lakini wanambozi si kitoweo cha wajinga wamemtosa na nidhani yeye ndiye aliletewa vurugu.
Imemuuma sana kuona umati ule,namna mkutano ulivyokuwa mkubwa.pole sana mpepo,mwambie dr.slaa mimi naitwa mtela allam mwampamba jiwe walilowakataa waashi sasa jiwe kuu la pembeni.
Nakanusha kabisa kabisa hakuna vurugu wala dalili yoyote ile ya uwepo wa hizo vurugu walizozizoea chadema.mkutano ulimalizika kwa amani kabisa,sasa nipo mkoa wa pwani tayari kwa kazi ya kichama.
chini
baba mzazi mzee mwampamba akirudisha takataka za chadema mbele ya jemedari mwigulu nchemba nyumbani mlowo.

Mzee allam mwampamba akiwa ndiye muasisi wa vyama vingi wilayani mbozi ameamua kauchana na siasa za majungu,kinafiki za chadema na kujiunga na ccm.amesema ni bora viya ya kupambana na mafisadi kuliko vita ya ukabila,umwagaji damu na ukdanda ndani ya hivi vyama vya upinzani(cdm0





rakini kumbuka kujaza watu kwenye mikutano kwa malori sio kuwa wote wako pamoja na ccm
wengi kama mimi hua naenda kusikiliza tu,sasa usijivune kuwa umejibu kumbe watu 100 kati ya 2000 ndio wa chama chako,

asante sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom