Nimetumiwa email ya kazi na hili shirika, The Global warming Policy Fund (GWPF)

Chemwali

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
397
178
Habari wadau, nimepokea email kutoka UK ya shirika la The Global warming Policy Fund (GWPF).

Ambao niliwahi apply kazi kwao kw branch ya Tanzania baada ya kuona tangazo lao la kazi.

Sasa juzi nimejibiwa email yenye kunitaariifu nimekuwa shortlisted kwa hatua ya awali, na kunitaka nijaze new staff entry form but ndani ya hiyo form inanitaka nifanye mtihani wa GIA na wamenipa hatua za maelekezo kuhusu website za hao invigilators.

Nilipowacheki hao watu wa GIA, wakanipa a way forwad ikiwemo kulipa exam fee kama laki mbili za KItanzania.

Naomba Ushauri : Je nikalipe nifanye exam niwahi deadline ya kazi kwamba watu huwa wanapata?au
 
Hapo unapembejewa uliwe mkuu. Mashirika mengi hayana application fee kwenye kuajiri. Utatapeliwa.
 
Ninavyo jua mimi hiyo mitihani ipo kwa mashirika mengi ya Nje ila hailipiwi...Nanusa harufu ya kutapeliwa hapo
ie. tofauti na gharama za usafiri na Malazi; hutakiwi ulipie hela kupata kazi inayo fuata taratibu za kazi za kidunia
 
wanachotaka nikafanye huo mtihani wa GIA ambao usually ni zile online test then wao niwatumie results yaani certificate
 
Hab
ari wadau,nimepokea email kutoka UK ya shirika la
The Global warming Policy Fund (GWPF)
ambao niliwahi apply kazi kwao kw branch ya Tanzania baaada ya kuona tangazo lao la kazi.sasa juzi nimejibiwa email yenye kunitaariifu nimekuwa shortlisted kwa hatua ya awali..na kunitaka nijaze new staff entry form but ndani ya hiyo form inanitaka nifanye mtihani wa GIA na wamenipa hatua za maelekezo kuhusu website za hao invigilators.nilipowacheki hao watu wa GIA..wakanipa a way forwad ikiwemo kulipa exam fee kama laki mbili za KItanzania.Naomba Ushauri ..je nikalipe nifanye exam niwahi deadline ya kazi kwamba watu huwa wanapata?au

Shirika ambalo ni la kimataifa linaitwa Grobal Warming Policy Foundation na sio Policy Fund. Na mala nyingi mashirika yanakua na website. Shilika lenye web ni Grobal Warming Policy Foundation (GWPF) Na sio hilo lako.
 
Beware wanasayansi hawapromote tena Global warming. Hivyo hakuna fund hizo. Siku hizi ni Climate change inafanyiwa promotion.
.
 
Tatizo la ajira limekuwa ni ajira kwa watu wengine daah angalia unaweza ukawa resources hahahah
 
Unatapeliwa mkuu, rafiki yangu na wife wameshatapeliwa. Hawa ni wakenya wanaofanya hio kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom