Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

Doto12

JF-Expert Member
Nov 2, 2023
291
584
Ndugu wana nzengo.

Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.

Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.

Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.

Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.

Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
 
Dawa ya mtu anae Ku ignore ni wewe kum ignore mara mbili yake ..hata ukimuona jifanye humuoni.....

Lakini vile vile jaribu kuchunguza usikute kuna sababu...
Labda anahisi wewe unamdharau...
Au pengine mwenzio kiziwi..
Au ana tatizo la kuamini na kusikia kila anachoambiwa..
Lazima kuna sababu.....

Unaweza kum ignore kabisa Hadi ashike adabu au unaweza tafuta suluhu Kwa kuchunguza na kurekebisha
 
Umengea neno kubwa sana.

Kuignore more. Asante sana. Huwa napaki gari mbezi kuepuka foleni ya mini. Akimdoka anaweza akawaita wadau wengine kama hawajaja na magari yao. Mm kitendo cha ku ni ignore hata kusema Doto12 tukuache mbezi. Ana ita wengine.dah
Wewe nawe kwani lazima akuite.Nimegundua wala hakuignore kabisa.Wewe ndo unajihisi hivyo.Ishi kwa kutokutegemea mtu akufanyie jambo.Utaona utakuwa mtu mwenye furaha.Sasa mtu asipokupa lift,wewe unaumia jamani. Hahahahaha nimecheka sana.
 
Anakuadmire sana mkuu ila inaoneka wewe uko bize na mambo yako umeshindwa kurecognize kwamba anakukubali. Hiyo imemfanya awe afeel kama hatoshi kwako na defensive mechanism yake ni kujifanya anakuignore, amini nakwambia huyo mwanamke anakupenda sana
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
 
Kiufupi wamefanya Unachowafanyiaaa...!! Hushangai ni wew peke yako tu ndo unapotezewa??? Mjifunze kujichanganya na watu hasa maeneo ya kazi kujikuta introvert ni ungeseee sio kila mada lazima uchangie ila Usijikute wew ndo wa maana sana kuzidi wengine.. Otherwise usione hutendewi haki endelea na utaratibu wako na usiwahukumu waliofanya unachowafanyia.
 
Back
Top Bottom