Nimetoka tena kwenye Ban jamani

Ndiyo hivyo jamani hatimae nimetoka kwenye Ban baada ya kumtukana Rejao humu jamvini.
Pole sana. Ni matumaini yangu kuwa utakuwa umejirekebisha. Kumbuka matusi hayajengi. Karibu tena Jamvini
 
ban bwana jinsi ya kuepuka ban jamvini we tulia spoti, mmu, photo na mambo ya k na my fev jukwaa tech burudani..:poa
lakini huku kwenye siasa ni :A S embarassed:
 
Ndiyo hivyo jamani hatimae nimetoka kwenye Ban baada ya kumtukana Rejao humu jamvini.
Kuna watu wana hisa na JF hivyo ukiwagusa umemgusa Invisible!!!! Lakini mkuu epuka mitego yao hao jamaa, ni mabingwa wa kutega.
 
Back
Top Bottom