Maelezo hayo yako kwenye bandiko langu la awali ambalo nilitangaza kwamba nauza majani ya ngano.mkuu Mtambuzi tafadhali jibu hapa
Mbona Sioni kama yana Vitamini B17 ambayo tunaambiwa ndio ina Fight Against Cancer Cells
Ni kweli ukipata mbegu nzuri inatakiwa ivunwe baada ya siku saba na baada ya kuvunwa inahifadhiwa kwenye jokofu ambapo hudumu kwa siku saba tu zaidi ya hapo haina faida inakuwa imekufa.Salaam Mtambuzi
Nataka kujua hayo majani ya ngano yanatakiwa yavunwe yakiwa na siku ngapi?
Kwa tatizo la ngozi nathibiyisha inasaidia sana kwani nilikuwa nasumbuliwa na Sun burn baadhi ya tissue ya ngozi ilikuwa inakufa. Nikashauriwa kutumia juice yake kwa kunywa na kupaka ujiuji wake usiku, ila ngano isivuke siku saba hivyo nilikuwa na vitalu.
Asante sana kwa darsa.
Acha uongo.Sahihisho: Ni kirutubisho na SIYO tiba. Haya mtu aache chemo eti anakunywa juice ya majani ya ngano tuone. Utakuja kuua watu mkuu...
Waambie maana watu ni wabishi sana humu.Vitamini B 17 inapatikana kwenye mbegu ya Apricot na apples.
Hata hivyo katika ile orodha ya tiba za asili ya Cancer , majani ya ngano yamo.
Mkuu wabishi wapo popote usipoteze muda kubishana nao, endelea kuwajibu wenye shida,Waambie maana watu ni wabishi sana humu.
Mimi nimetibu mtu mwenye kansa kwa miezi mitatu na sasa ni mzima wa afya
Vipi mkuu ulifanikiwa kumpa tiba Bi Mkubwa na hali yake inaendeleaje?
Mbona Sioni kama yana Vitamini B17 ambayo tunaambiwa ndio ina Fight Against Cancer Cells