Nimesikitika sana Wabunge wa CCM kupitisha Muswada wa Sheria ya Huduma za habari kuwa sheria

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Comred Malisa Godlisten
Nimesikitika sana Wabunge wa CCM kupitisha Muswada wa Sheria ya Huduma za habari kuwa sheria. Nilichogundua ni kuwa wabunge wote wa CCM ni wanafiki. Si watu wa kuaminika hata kidogo. Wanajali zaidi maslahi ya chama chao kuliko maslahi ya umma. Wako tayari kuipa jamii hasara ili mradi chama chako kiwe kinanufaika.

Wale wabunge wachache ndani ya CCM tuliokua tukiwaona ni mashujaa wameprove kwamba ni wanafiki tu. Ukiona Mbunge wa CCM anaishambulia serikali ujue maslahi yake yameguswa mahali fulani. Kwahiyo njia pekee ya kutetea maslahi hayo ni kutafuta "public sympathy."

Kuna baadhi ya wabunge wa CCM walianza kuikosoa serikali siku za karibuni wakaonekana ni wazalendo. But deeply in their heart ni wanafiki. They are not people of proven intergrity. Nimesikitika sana kelele zote za kina "Bwashe, Lu-gola", na wengine waliojifanya wazalendo zimekuja kuishia kupitisha mswada huu kandamizi, mswada wa kikoloni, mswada wa kibabe tena bila marekebisho yoyote. Sheria ya aina hii haikuwahi kuwepo hata wakati wa ukoloni. This is the most draconian Law ever passed in Tanzania.

Nategemea baada ya Rais kusaini muswada huu mitandao yote ya kijamii itazimika, maana hutaruhusiwa kuendesha blog, website, au ukurasa wako wa Facebook, Twitter etc bila kupewa leseni.

Labda uwe unasoma tu habari za wengine hapo hutahitaji leseni, lakini kama utaandika, kuchapisha au kusambaza habari utahitaji kupata leseni kwanza.

Kifungu cha 8(1) cha sheria hiyo kinasema:

"Mtu hataruhusiwa kuchapisha, kuuza, kutaka kuuza, kuingiza nchini, kusambaza au kuchapisha habari kwa namna yoyote ile isipokuwa mtu huyo amepewa leseni kwa mujibu wa Sheria hii."

[HASHTAG]#Tafsiri[/HASHTAG]:
Maneno "kwa namna yoyote ile" yanamaanisha huruhusiwi kusambaza habari hata kwa kutumia mitandao ya kijamii pia. Hutaruhusiwa kuchapisha wala kusambaza habari kama huna leseni.

[HASHTAG]#Swali1[/HASHTAG]:
Je sheria imetaja vyombo vya habari vinachotakiwa kupata leseni ili kutoa habari?

JIBU: Kwa mujibu wa kifungu cha 3 cha sheria hii chombo kinachotakiwa kupewa leseni ni chombo chochote cha habari za kielekroniki.

[HASHTAG]#Swali2[/HASHTAG]:
Je chombo cha habari za kielektroniki ni kipi?

JIBU: Kifungu cha 3 kinatoa tafsiri kuwa:
“chombo cha habari za kielektoroniki” maana yake ni aina ya mawasilisho ya maudhui kwa umma kwa njia ya televisheni, redio, video, sinema, magazeti yaliyotolewa mtandaoni au kwa njia nyingine yoyote ya kielektroniki na vifaa ikijumuisha mitandao ya kijamii na njia nyingine zinazoendana na hizo.

[HASHTAG]#Tafsiri[/HASHTAG]:
Ukisoma vifungu hivyo viwili ni wazi kwamba mitandao ya kijamii (Blogs, Website, Facebook, Twitter, Instagram etc) ni moja ya vyombo vinavyohitaji kupewa leseni ili viweze kusambaza, kuchapisha au kuuza habari kwa umma.

Na sheria imempa Mkurugenzi mamlaka ya kukupa au kukunyima leseni kwa kadri ya masharti yaliyowekwa:

Kifungu cha 9 cha sheria hiyo kinasema:
"Mkurugenzi wa Habari au mtu yeyote anayefanya kazi kwa niaba yake atakuwa na mamlaka ya:
(a) kukataa maombi ya leseni ya chapisho ambayo hayakidhi vigezo vya utoaji wa leseni;
AU
(b) kusitisha kwa muda au kufuta leseni endapo mwenye leseni atashindwa kuzingatia masharti ya leseni."

Maana yake ni kwamba ukiwa na blog yako, ukurasa wako wa Facebook, Twitter, Instagram etc as long as unautumia kusambaza, kuchapisha au kuuza habari unahitaji kupata leseni. Na mkurugenzi wa habari anaweza kukunyima leseni kama hujatimiza kile kinachoitwa "masharti ya leseni". Pia unaweza kupewa leseni lakini baada ya muda ukanyang'anywa kama utakiuka "masharti ya leseni".

Bahati mbaya sheria haijaeleza hayo "masharti ya leseni" ni yapi? Kifungu cha 8(2) kimempa Waziri mamlaka ya kujitungia hayo "masharti ya leseni"

Kwahiyo Waziri anaweza kujitungia masharti anayoona yanafaa. Kwa mfano Waziri anaweza kuweka sharti mojawapo kuwa "ukitaka kupata leseni hutakiwi kuandika habari za kuikosoa serikali"

Kwa hiyo siku ukienda kuomba leseni ya blog yako, website yako, au ukurasa wako wa Facebook, Twitter etc unaweza kunyinywa ikiwa umewahi kuikosoa serikali. Au unaweza kupewa lakini siku ukiikosoa serikali unanyang'anywa maana utakuwa umevunja masharti ya leseni.

Hii ndiyo zawadi ambayo CCM wameamua kutupa baada ya miaka 55 ya Uhuru. Nchi haina madawa, uchumi umeyumba, mabenki yanafilisika, bandari inalia hakuna mizigo, watumishi wanalia hakuna nyongeza ya mshahara wala kupanda madaraja, graduates wanalia hakuna ajira mpya. Badala ya serikali kushughulikia yote hayo inaamua kuwaziba mdomo wasiweze hata kusema, wala kusaidiwa kusemewa.

Wameamua kuturudisha kwenye ukoloni kwa makusudi, halafu bila aibu unakuta "kambunge" ka CCM kamesimama kanalaunu serikali na kujifanya kutetea wananchi. Unafiki. The hypocrisy of the highest order. I hate CCM with all my heart and soul.

Nitumie fursa hii kuwaaga wale wote watakaozima mitandao yao kwa kukosa leseni. Mimi sitaomba leseni ya kurun ukurasa huu, wala sitaufunga. Ukurasa huu unafuatiliwa na watu zaidi ya 70,000 dunia nzima. Siwezi kusucrifice watu 70,000 kwa expense ya wabunge wachache "wajinga" wa CCM. Kama wakiona ni vema wafunge wao, otherwise waanze kuandaa nafasi yangu Segerea.
 
Yaliyopita si ndwele
 
Ujui hii ni Tanzania mpya ya viwanda............

Endelea kuumia lakini ujue hii nchi ngumu kweli.....

Utaeuka ukiendelea kufatilia baadhi ya mambo
 
Moyo wangu una fahari kubwa kuwepo zama hizi, nilikuwa nasoma historia ya mapambano ya Uhuru na namna wazee wetu walivyo kuwa wana pambana, nikawa navaa uhusika wa miaka ile, nikawa nami natamani siku zirudi nyuma niungane nao katika mapambano! Ila kwa haya naamini kila nyakati zina watu wake, na nyakati hizi Mimi ni mmoja wao, sitaungana na mashetani yaliyo vaa vilemba na ngozi za binadamu! Kila siku nasema Mimi ni mfuasi wa haki, Nuru na zao la fikra zangu zitamulika ukweli kuliko uongo, nitasimamia haki dhidi ya dhuluma!

Serikali kwa makusudi inataka kutupeleka katika historia tofauti ya taifa hili, wana utaka "utukufu" wanaamua kuhalalisha uovu na uonevu wowote kwa faida yao! Wakisha tunyima taarifa wametunyima kila kila"information is power "

Nimalizie kwa kusema, kuwa, revolution never comes out of contentment, it comes of tremendous discontentment!
 
Nasema hivi humu JF tutajaa MMU.

kule hakuna Habari wala Hoja mchanganyiko.
 
Tuache kulalamika wakati tunachagua CCM wapuuzi siyo wabunge wa CCM ni wewe na mm tunao wapigia kura uku tunajua ni CCM usimpigie kura MTU yoyote ambaye ukimuuliza kama anakula rushwa au fisadi au mpuuzii aka akakujibu yeye siyo fisadi wala mlarushwa wala mpuuzii yeye ni CCM ukisikia neno CCM tu achana nae usimpigie kura hata siku moja ni zaidi ya haramu
 
Anaandika Comred Malisa Godlisten
Nimesikitika sana Wabunge wa CCM kupitisha Muswada wa Sheria ya Huduma za habari kuwa sheria. Nilichogundua ni kuwa wabunge wote wa CCM ni wanafiki. Si watu wa kuaminika hata kidogo. Wanajali zaidi maslahi ya chama chao kuliko maslahi ya umma. Wako tayari kuipa jamii hasara ili mradi chama chako kiwe kinanufaika.

Wale wabunge wachache ndani ya CCM tuliokua tukiwaona ni mashujaa wameprove kwamba ni wanafiki tu. Ukiona Mbunge wa CCM anaishambulia serikali ujue maslahi yake yameguswa mahali fulani. Kwahiyo njia pekee ya kutetea maslahi hayo ni kutafuta "public sympathy."

Kuna baadhi ya wabunge wa CCM walianza kuikosoa serikali siku za karibuni wakaonekana ni wazalendo. But deeply in their heart ni wanafiki. They are not people of proven intergrity. Nimesikitika sana kelele zote za kina "Bwashe, Lu-gola", na wengine waliojifanya wazalendo zimekuja kuishia kupitisha mswada huu kandamizi, mswada wa kikoloni, mswada wa kibabe tena bila marekebisho yoyote. Sheria ya aina hii haikuwahi kuwepo hata wakati wa ukoloni. This is the most draconian Law ever passed in Tanzania.

Nategemea baada ya Rais kusaini muswada huu mitandao yote ya kijamii itazimika, maana hutaruhusiwa kuendesha blog, website, au ukurasa wako wa Facebook, Twitter etc bila kupewa leseni.

Labda uwe unasoma tu habari za wengine hapo hutahitaji leseni, lakini kama utaandika, kuchapisha au kusambaza habari utahitaji kupata leseni kwanza.

Kifungu cha 8(1) cha sheria hiyo kinasema:

"Mtu hataruhusiwa kuchapisha, kuuza, kutaka kuuza, kuingiza nchini, kusambaza au kuchapisha habari kwa namna yoyote ile isipokuwa mtu huyo amepewa leseni kwa mujibu wa Sheria hii."

[HASHTAG]#Tafsiri[/HASHTAG]:
Maneno "kwa namna yoyote ile" yanamaanisha huruhusiwi kusambaza habari hata kwa kutumia mitandao ya kijamii pia. Hutaruhusiwa kuchapisha wala kusambaza habari kama huna leseni.

[HASHTAG]#Swali1[/HASHTAG]:
Je sheria imetaja vyombo vya habari vinachotakiwa kupata leseni ili kutoa habari?

JIBU: Kwa mujibu wa kifungu cha 3 cha sheria hii chombo kinachotakiwa kupewa leseni ni chombo chochote cha habari za kielekroniki.

[HASHTAG]#Swali2[/HASHTAG]:
Je chombo cha habari za kielektroniki ni kipi?

JIBU: Kifungu cha 3 kinatoa tafsiri kuwa:
“chombo cha habari za kielektoroniki” maana yake ni aina ya mawasilisho ya maudhui kwa umma kwa njia ya televisheni, redio, video, sinema, magazeti yaliyotolewa mtandaoni au kwa njia nyingine yoyote ya kielektroniki na vifaa ikijumuisha mitandao ya kijamii na njia nyingine zinazoendana na hizo.

[HASHTAG]#Tafsiri[/HASHTAG]:
Ukisoma vifungu hivyo viwili ni wazi kwamba mitandao ya kijamii (Blogs, Website, Facebook, Twitter, Instagram etc) ni moja ya vyombo vinavyohitaji kupewa leseni ili viweze kusambaza, kuchapisha au kuuza habari kwa umma.

Na sheria imempa Mkurugenzi mamlaka ya kukupa au kukunyima leseni kwa kadri ya masharti yaliyowekwa:

Kifungu cha 9 cha sheria hiyo kinasema:
"Mkurugenzi wa Habari au mtu yeyote anayefanya kazi kwa niaba yake atakuwa na mamlaka ya:
(a) kukataa maombi ya leseni ya chapisho ambayo hayakidhi vigezo vya utoaji wa leseni;
AU
(b) kusitisha kwa muda au kufuta leseni endapo mwenye leseni atashindwa kuzingatia masharti ya leseni."

Maana yake ni kwamba ukiwa na blog yako, ukurasa wako wa Facebook, Twitter, Instagram etc as long as unautumia kusambaza, kuchapisha au kuuza habari unahitaji kupata leseni. Na mkurugenzi wa habari anaweza kukunyima leseni kama hujatimiza kile kinachoitwa "masharti ya leseni". Pia unaweza kupewa leseni lakini baada ya muda ukanyang'anywa kama utakiuka "masharti ya leseni".

Bahati mbaya sheria haijaeleza hayo "masharti ya leseni" ni yapi? Kifungu cha 8(2) kimempa Waziri mamlaka ya kujitungia hayo "masharti ya leseni"

Kwahiyo Waziri anaweza kujitungia masharti anayoona yanafaa. Kwa mfano Waziri anaweza kuweka sharti mojawapo kuwa "ukitaka kupata leseni hutakiwi kuandika habari za kuikosoa serikali"

Kwa hiyo siku ukienda kuomba leseni ya blog yako, website yako, au ukurasa wako wa Facebook, Twitter etc unaweza kunyinywa ikiwa umewahi kuikosoa serikali. Au unaweza kupewa lakini siku ukiikosoa serikali unanyang'anywa maana utakuwa umevunja masharti ya leseni.

Hii ndiyo zawadi ambayo CCM wameamua kutupa baada ya miaka 55 ya Uhuru. Nchi haina madawa, uchumi umeyumba, mabenki yanafilisika, bandari inalia hakuna mizigo, watumishi wanalia hakuna nyongeza ya mshahara wala kupanda madaraja, graduates wanalia hakuna ajira mpya. Badala ya serikali kushughulikia yote hayo inaamua kuwaziba mdomo wasiweze hata kusema, wala kusaidiwa kusemewa.

Wameamua kuturudisha kwenye ukoloni kwa makusudi, halafu bila aibu unakuta "kambunge" ka CCM kamesimama kanalaunu serikali na kujifanya kutetea wananchi. Unafiki. The hypocrisy of the highest order. I hate CCM with all my heart and soul.

Nitumie fursa hii kuwaaga wale wote watakaozima mitandao yao kwa kukosa leseni. Mimi sitaomba leseni ya kurun ukurasa huu, wala sitaufunga. Ukurasa huu unafuatiliwa na watu zaidi ya 70,000 dunia nzima. Siwezi kusucrifice watu 70,000 kwa expense ya wabunge wachache "wajinga" wa CCM. Kama wakiona ni vema wafunge wao, otherwise waanze kuandaa nafasi yangu Segerea.
Tunangoja ushahidi wa mlungula na si hii mijistori mireefu isiyo na mbele wala nyuma.
 
Hivi uliwasikia wanahabari wakiulalamikia Ikulu?
 
"....Hiki Chama kinaweza kikaamua chochote bila kujali wananchi waathirikaje na sheria hiyo, na jambo hili halitaathiri ushindi wa Chama hiki 2020 kwa kuwa hao watakaolalamika leo ikifika wakati wa uchaguzi wakipewa kitu kidogo huwa mstari wa mbele kumwaga sifa..."
 
Tunawasubiri kwa hamu uraiani, walivyotuuza kamwe hatutawasamehe na hizo walizokula watazitema zote 2020, tunazila na kuzidai na kura hatuwapi!
 
Malisa hizo tafasiri unazozitoa si kweli. Sheria hufanya kazi kwa kanuni ambazo bado hata kutungwa ambazo zitaainishwa na kanuni. Watashikirishwa washika dau wote.
Labda useme kifungu cha 50 na 51 kama bado ilivyokuwa zamani inasema "Any person" ambapo sasa hata mimi niandikapo ujumbe!
 
Back
Top Bottom