Nimeshinda kesi yangu dhidi ya mwajiri wangu wa zamani pale CMA, nifanyeje?

newdiplomat

Member
Nov 17, 2015
6
5
Ndugu zangu, nimeshinda kesi yangu dhidi ya mwajiri wangu wa zamani pale CMA, naomba kujulishwa utaratibu ukoje kama hajakupa taarifa za kukulipa baada ya ule muda wa siku 14 wanazopewa kuisha?
 
Rudi CMA kwa ufafanuzi ila ukikamata mpunga watwange 24hrs notice uachane nao.yaani unaporudi kazini na unaacha hapohapo.hama pia makazi kama umepanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom