Nimesafiri na Fly 540 bila Life Jackets...!

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Great Thinkers,

Hivi punde nimesafiri na ndege za 540.
Wahudumu wangu walikuwa George na Moses akati Ruban wetu alikuwa Adili. ila Co pilot simkumbuki)

Maelezo ya usalama yalitolewa kwa uzuri na Moses huku George akitumia ishara mbalimbali kama namna ya kufunga mkanda nakadharika.

Nilishangaa sana Moses alijizuia mazima bila kueleza namna ya kutumia Life jackets ikabidi niangalie chini kiti changu nikagundua kuwa halikuwepo.
Nikasema labda kwa wenzagu yapo nikapitisha jicho pia sikuyaona.

Siku nyingine tena hivyo hivyo zaidi kukawa ndani ya ndani hakuna Fan ama sijui AC ilikuwa haifanyi kazi ila akatuomba radhi wasafiri kuwa pindi ndege ikipaa hewa itakuwa ya kutosha.

Naomba sana mamlaka husika ziwe makini kuangalia masuala haya, nilitoa lalamiko kama hili juu ya mafuriko haikupita mwezi yaliyotokea Dar kila mtu ni shahidi.

Nawasilisha
 
ulijaribu kuwaulizia kuhusu hizo life jackets zilipo!!!labda wamezitunza kwa rubani,wanaogopa abilia wengine huwa wanateremka nazo!!!
teh teh, life jackets zikae kwa pilot??
hapana ukweli ndiyo huo maisha yetu yamezidi kuwa ya kuunga unga.
yani kila kitu hakuna mkazo
 
jnia-kia, kia-mwz, mwz-jnia.

Ile jet CRJ 200 ? Inapaswa kuwa hivi.....ni kweli hazipo labda unanyofoa siti

04.jpg
 
mkuu pole kwa kukosa vifaa muhimu vya kunusuru uhai endapo chombo cha angani kingeleta taabu. Inaonekana ndio umeanza kutumia usafiri huu wa angani na huna uzoefu nao. Ni wazi kwamba ulitanguliza uoga na hofu sana mkuu, wakati mwingine hivyo vifaa vinaweza kuwepo ikitokea taabu hata kukumbuka mahali kilipo au ukikipata unashindwa kukitumia, ukikitumia uhakika wa kunusurika pia sio asilimia 100. uwe unamtanguliza mungu kwa kila jambo. usitumie tena hizo ndege za hao uliowataja.
 
Ukwauliza watakuambia hiyo safari ipiti juu ya maji kwa hiyo uhitaji life jackets.
 
great thinkers,

hivi punde nimesafiri na ndege za 540.
Wahudumu wangu walikuwa george na moses akati ruban wetu alikuwa adili. Ila co pilot simkumbuki)

maelezo ya usalama yalitolewa kwa uzuri na moses huku george akitumia ishara mbalimbali kama namna ya kufunga mkanda nakadharika.

Nilishangaa sana moses alijizuia mazima bila kueleza namna ya kutumia life jackets ikabidi niangalie chini kiti changu nikagundua kuwa halikuwepo.
Nikasema labda kwa wenzagu yapo nikapitisha jicho pia sikuyaona.

Siku nyingine tena hivyo hivyo zaidi kukawa ndani ya ndani hakuna fan ama sijui ac ilikuwa haifanyi kazi ila akatuomba radhi wasafiri kuwa pindi ndege ikipaa hewa itakuwa ya kutosha.

Naomba sana mamlaka husika ziwe makini kuangalia masuala haya, nilitoa lalamiko kama hili juu ya mafuriko haikupita mwezi yaliyotokea dar kila mtu ni shahidi.

Nawasilisha

mkuu binafsi nimeanza kukucheka
uwezi ona gari imejaa alafu unaninginginia mlangoni tyhen unapiga kelele mbona wamekubana waati umeona wazi
nini maana yake kisheria nikufundishe siku nyingine una mamlaka ya kukataa kupanda wasipokuwa nayo ila angalizo angalia uanaenda wapi na je ndege itapita sehemu ya maji ....hili ni muhimu na kwakuwa umepanda ukashuka salama hizo ndio ndege zetu hata uende ...naninoo wale wale

hope to see you soon again flying with 540
 
Spencer
samahani sio wewe pengine wengine kama weewe
kumekuwa na matatizo ya ninyi abiria kuchomoa na kwueka mifukoni mwenu mkiamini zitasaidia wakati wa mafuriko ingawa yamepita dar sijaona hata mmoja ametumia hayo na akafanikiwa
so nashauri msichukue mkahisi mapambo ya nyumban hivyo ni vyombo vya usalama jamani na kama unavyosema ikitokea ndio unajua wapi ilipo nakupongeza kwa kuona hili ingawa umechemka kwenda na kutua alafu unalalamika ukitua salama wenzako wanakaa kimya
 
Nakumbuka kuna kibandiko mbele ya seat kinachoelekeza kuwa wakati wa dharura tumia kikalio cha kiti kwa kuelea. Tatizo ni kuwa wafanyakazi wa 540 hawaelekezi hata jinsi utakavong'oa kikalio na kama utatakiwa kukitumia namna gani, utafunga mkanda vipi n.k
 
mkuu pole kwa kukosa vifaa muhimu vya kunusuru uhai endapo chombo cha angani kingeleta taabu. Inaonekana ndio umeanza kutumia usafiri huu wa angani na huna uzoefu nao. Ni wazi kwamba ulitanguliza uoga na hofu sana mkuu, wakati mwingine hivyo vifaa vinaweza kuwepo ikitokea taabu hata kukumbuka mahali kilipo au ukikipata unashindwa kukitumia, ukikitumia uhakika wa kunusurika pia sio asilimia 100. uwe unamtanguliza mungu kwa kila jambo. usitumie tena hizo ndege za hao uliowataja.

Shukrani.
Mungu yupo kila mahali hata hapo ulipo, unatumia oxygen bure bila kuomba.
Alitupatia akili hatimaye tukaweza kuunda ndege, sasa yeye hatahusika na ishu ya usalama wetu kama pia akili ya kujua kuwa ni makosa kukosa lifejackets katupa.
Kwa nini kila kitu Mungu mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Back
Top Bottom