Nimepishana na pick up imejaa spanner

Kwan wewe ni mlengwa ni JOGI DANGOTE IGWEDU??????
hapa kodi tu figisu figisu ukoooo.
Walengwa watajitokeza tu!
Kwa swala la kodi hatuanzi kulipa leo, tumekuwa tukilipa toka enzi za kamishna ZAKAYO.
 
Tulikuwa tunaenda kurekebisha ndege ilokwama arusha
Unaona sasa! Sisi tulishakumbwa na hofu kuwa Dangote "Mazganyanza"

Kabla sijaondoka hewani tuambie mkitokea wapi hadi mkajikuta mpo mkuranga.
 
Unaona sasa! Sisi tulishakumbwa na hofu kuwa Dangote "Mazganyanza"

Kabla sijaondoka hewani tuambie mkitokea wapi hadi mkajikuta mpo mkuranga./QUOTE]Kwani ndege si tulinunua msumbiji?umesahau?
 
Ilishaanza kutumika huko au brand new
 
Back
Top Bottom