Nimependa jaman.

Morgan james

Member
May 21, 2012
28
1
Namshukuru Mungu mimi ni kijana mwenye bahati kwa kweli sijawai tongoza mwanamke bali wao ndo wananitongoza mimi caca kilichonikuta ni kwamba nimependa na kutongoza cjui naomben msaada nifanyeje.
 
Namshukuru Mungu mimi ni kijana mwenye bahati kwa kweli sijawai tongoza mwanamke bali wao ndo wananitongoza mimi caca kilichonikuta ni kwamba nimependa na kutongoza cjui naomben msaada nifanyeje.

kijana...kwanza nadhani huelewi kuwa ujana maji ya moto yatapoa..kuwa mtulivu

umependa na kutongoza hujui....kwa kuwa hapo juu nimekueleza ujana maji ya moto na wewe ni kijana then nikakuambia uwe mtulivu...just tulia..its a matter of time utafundishwa chuo kikuu mwaka wa nne kwenye development studies kuna topic ya kufundisha vijana wakubwa wanaokaribia kumaliza chuo "kutongoza na lobbying as wanaenda sasa mtaani kutafuta kazi, maisha na mademu wazuri ili waje wawe wake zao"...

UMENIELEWA VIZURI BABAKO MDOGO??
 
haina formular kk tiririka kama haupo moyoni kwa mtu hata uongee maneno elfu hayasaidii na kama mtu anakupenda maneno machache yanatosha,my first time,it was to my friend,i just said a single statement i love u,af nikawa kimya,
 
Back
Top Bottom