Nimepata pasi ya kusafiria (Electronic passport)

Hongera kwa kupata ufunguo huo wa kimataifa, sasa cha kufanya watu walikupa mawazo yao hapahapa jukwaani basi na wewe toa madini hapahapa hatua ulizoanzia, documents zipi ulitakiwa kuziwasilisha, changamoto na maoni yako kwa uhamiaji. Hayo mambo ya namba za simu sio sahihi sana kwa greart thinkers.
 
Nanusa harufu fulani kwenye tangazo hili ila mmmh abiria chunga mzigo wako
 
Hizo wiki mbili za kusubiri passport ilitakiwa iwe umeshafika sehemu uliyokusudia kwenda sio kusubiri passport
 
Passports mchawi ni documents tu, ukiwa nazo unaipata within 2-3 weeks bila kutoa hata mia
Sioni haja ya wewe kupigiwa simu au kufuatwa wasap
Documents gani unakosa??

Namba ya nida?? Nenda ofisi za Nida
Cheti za kuzaliwa?? Nenda ofisi za mkuu wa Wilaya.
Cheti za mzazi?? Nenda mahakamani au kwa mwanasheria ukaape (kama hakipo)

Barua ya unakokwenda?? Nenda kanisani (kama ni mkristo mwambie mchungaji wako akauandikie barua ya kwenda kuiji Israel , kama ni mmuislam shekhe anakuandikia barua ya kwenda kuiji Maka.

Kama mtumishi ongezea na barua ya mwajiri.

Wakikuzingua omba namba ya kamishina.

Kukosa Passport ni UZEMBE WAKIPUMBAVU
 
Wiki 2 au 3??? Poleni sana mie nilitumia siku 1 tu nmeenda leo nkakamilisha mchakato kesho nkapigiwa simu ipo tayari keshokutwa nkaifata.

Vivo hvyo lesen ya gari pia niliprocess asbh saa 5 nkawa nmemaliza saa 10 jion nmepigiwa simu niifate sehemu

NOTE:
hakikisha una relevant document zote zinazokuwa zinahitajika.
 
Documents gani unakosa??

Namba ya nida?? Nenda ofisi za Nida
Cheti za kuzaliwa?? Nenda ofisi za mkuu wa Wilaya.
Cheti za mzazi?? Nenda mahakamani au kwa mwanasheria ukaape (kama hakipo)

Barua ya unakokwenda?? Nenda kanisani (kama ni mkristo mwambie mchungaji wako akauandikie barua ya kwenda kuiji Israel , kama ni mmuislam shekhe anakuandikia barua ya kwenda kuiji Maka.

Kama mtumishi ongezea na barua ya mwajiri.

Wakikuzingua omba namba ya kamishina.

Kukosa Passport ni UZEMBE WAKIPUMBAVU
Kwanini cheti cha NIDA pekee kisitoshe? Kwani NIDA si inazo taarifa hizi zingine?
 
Umeumiza mkuu, mimi Passport niliipata bila kikwazo hata kimoja kutokana na kukamilisha documents tena kwa usahihi.
 
Kwanini cheti cha NIDA pekee kisitoshe? Kwani NIDA si inazo taarifa hizi zingine?
Kawaulize uhamiaji hayo!! Uzuri siku hizi unajaza fomu online unaprint unaenda nazo fasta within a week uko na chuma mkononi. Kama vipi mcheki mwana hapo juu upigwe na chuma kizito
 
Mleta mada nimekutumia 100K ya kula inaonekana una njaa.
Endapo ukimaliza ndani ya wiki hii sema tu nikuongezee nyingine.
Enjoy maisha mm nipo kwa ajili yako/yenu.
 
Mleta mada nimekutumia 100K ya kula inaonekana una njaa.
Endapo ukimaliza ndani ya wiki hii sema tu nikuongezee nyingine.
Enjoy maisha mm nipo kwa ajili yako/yenu.
Wenye njaa tuko wengi mbwa wewe kama unatuma tutumie wote sio unakua mbaguzi!!
 
Back
Top Bottom