Binafsi huwa sipendi kuajiriwa ila mkuu umezinguaUnanishauri kwa ukali mkuu.
Una akili kweli wewe??aliyekuhakikishia zinatangazwa mwezi ujao ni nani? huko Vyuoni maendaga kusomea nini?Shida Ajira za kudumu zinatangazwa mwezi ujao.
Mm pia nlkuwa najiulza hili swali.MD Gani unashindwa kun'gamua kitu kidgo hivi.
Wazo zuri yeye anawaza la kesho badala achangamkie fulsa .anauhakika Gani kama hao elf 23 na yeye ataapia Malaki Hawana ajira yeye kapata ya mkataba anaanza maringo tena sasa asiripoti asubir kibali Cha mamaKAZI hipi??umepata..wewe NI mwalimu au dactor..na je majina yakitoka haupo inakuwaje...Kwann usiende Tu kufanya utafte mtaji
Halafu aliyekudanganya ni nani kuwa ukipata ajira serikalini huwezi PATA tena serikarini?wewe hujafukuzwa kazi umepata kazi ya muda omba kazi ya kudumu ukiwa kwenye kazi ya mkataba ni ruksaHabari wana jf.
Mimi ni kijana niliyekuwa nahangaika kutafuta ajira serikalini kwa muda mrefu kidogo.
Juzi ijumaa Tamisemi wametoa majina ya ajira ila kwa muundo wa mkataba na jina langu likiwemo.
Ila imeniletea ukakasi hii hali naombeni ushauri wenu wakuu.
Ajira wanasema ni ya mkataba wa miaka miwili na utapata shtahiki zote za mtumishi wa umma na majina yametolewa na Tamisemi wenyewe.
Mimi nataka niipotezee maana kuna kibali cha ajira Mama Samia alishakitoa mwaka jana Nadhani mwaka huu wanatangaza watumishi elfu 23.
Hofu yangu
Kama nikienda kuripoti nadhani sitapata tena ajira za tamisemi zinazotoka mwezi ujao maana Database yao itaonesha nimepata kazi.
View attachment 2886023
Hakuna Boss/Mkuu wa Idara husika atakaye kuzuia kuomba ajira za kudumu akiwa anajua upo kwenye ajira ya mkataba.Shida Ajira za kudumu zinatangazwa mwezi ujao.
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba humu jamvini kunawatu wako kwenye mifumo ya ajira za serikali wanajua wanachokushauri nenda karipoti ,Fanya kazi Kwa uadilifu mkubwa kajitume utaonekana tu na utapata kazi ya kudumu inshallah.lakin chamsingi mshahara wako jibane sana achana na starehe.ndani ya miaka miwili utakuwa umejipatia mtaji Ili upate kiofisi chakujishikiza Huku mapambano yakiendelea yakutafuta kazi.Shida Ajira za kudumu zinatangazwa mwezi ujao.
Well spoken my friend,hakuna kitu Cha kudumu Cha msingi nikumuomba mungu atujali afya na uhai tu unapata kazi ya kudumu unapigwa na stroke huwezi hata kuamka kitandaniWe nenda kuna uwezekano ukapewa mkataba wa kudumu hukohuko kila kitu kinawezekana Unasubiri zitangazwe serikali ikiahirisha utafanyaje. Hakuna kazi ya kudumu hapa duniani afya yako ndiyo itakufanya udumu kazini, je ukiajiriwa kazi ya kudumu halafu ukapata ulemavu wa macho unadhani mwajiri ataendelea na wewe lazima upigwe chini.
Ukiacha hiyo ta mkataba hata hizo unataka utakosa utasugua benchi mpaka pumbu zichakae
Atakuwa medical attendant huyoMD Gani unashindwa kun'gamua kitu kidgo hivi.
Wewe achana na utoto! Yani wewe unaweka budget kwa hela ambayo huna? Hiyo kazi ya Samia usipopata? Nenda kafanye kazi wewe achana na ndotoHabari wana jf.