Nimeota tunakupiga mande!!

Jimmysam

Member
May 31, 2012
37
6
Madam mmoja ambae alikuwa na destur ya kuwaomba wanafunzi wake wamsimulie ndoto..,mara baada ya kumaliza kufundisha..
Kama kawaida yake alipomaliza kufundisha ndipo alipo muhoji mwanafunzi mmoja na mazungumzo yao yalikuwa ka ifuatavyo...........(endelea)
MWALIMU;-Eheeeeeee tuambie jana uliota ndoto gan(huku akimu-appoint mwanafunz m1)???
MWANAFUNZI;-mmmh........mwalim mii naogopa..
MWANAFUNZ;-Usiogope weee tuambie tu..,hata kama ilikuwa n ndoto ya kutisha..
MWANAFUNZ;-mii naogopa
MWALIMU;-nooo....tuambie tuuu.
MWANAFUNZ;-Mwalim....(huku ana6)......jana.......jana NILIOTA TUNAKUPIGA MTUNGO(mande) NA MIIMI NDIO NILIYEKUANZIA..!!
WANAFUNZ;-Mayowe+makelele+mbinja+vgelegele=(mniambie wana JF)
***********##************
By Samson James Jimmysam.
 
Back
Top Bottom