mkuu huo ni mguu wa shemeji au wa kwako?
Duuuuhh kazi kweli kwelimkuu huo ni mguu wa shemeji au wa kwako?
Hahaha jf inanifanya ninenepemkuu huo ni mguu wa shemeji au wa kwako?
Mkuu nshakujua tayari, hata kama unatumia fake id.. Hapo napajua sanaTumeiona Flat screen na Subwoofer
Hapo kwenye flat kwa chiniNitafutie neno "what is the problem" kwenye thread ya mtoa mada.
Umepata!Na hilo ndilo lilikuwa jibu la mada hii kuwa "tatizo ni nini"?Hapo kwenye flat kwa chini
Ungekua mtihani hapa ungefaulu peke yako mpaka sasa manake wewe ndio umejikita kwenye mada haswa.Maisha tu.ila sijui kilombero sugar industry inauzwaje kwa kilo 1