Nimemsikia vibaya Mwenyewe au?

Leo umepata faida kwenye mihogo hapo sokoni kawe? Yule fundi cherehani mlielewanaje?
😃 Huyu dogo nilimvizia sana wakati ule aliposhinda ile zawadi yake ya mchongo ili nimuone live! Kwa bahati mbaya wenye jamii forums yao wakawapa hizo zawadi zao kwa kificho.

Nilipanga kumtafuta kijana mmoja tu ambaye amevaa kofia kubwa la pama ili kuficha masikio yake, au aliyevaa gloves mikononi ili kuficha vidole vyake. Maana yule Mzee Cherehani (muuza mihogo maarufu soko la Kawe) alichomfanyia huyu dogo, siyo poa hata kidogo. 😃

Halafu usichanganye! Mzee Cherehani ndiye muuza mihogo. Huyu dogo anauza mitumba. Na hivyo kupitia hiyo biashara yake, alimrubuni mke wa Cherehani kwa kumpa hela ya kulipa kwenye vicoba na hivyo kutembea naye. Alichokipata, ni ukumbusho wa milele kwake. Maana jamaa aliondoka na vidole vya mikono na kipande cha sikio.
 
Huyu dogo nilimvizia sana wakati ule aliposhinda ile zawadi yake ya mchongo ili nimuone live! Kwa bahati mbaya wenye jamii forums yao wakawapa hizo zawadi zao kwa kificho.

Nilipanga kumtafuta kijana mmoja tu ambaye amevaa kofia kubwa la pama ili kuficha masikio yake, au aliyevaa gloves mikononi ili kuficha vidole vyake. Maana yule Mzee Cherehani (muuza mihogo maarufu soko la Kawe) alichomfanyia huyu dogo, siyo poa hata kidogo.

Halafu usichanganye! Mzee Cherehani ndiye muuza mihogo. Huyu dogo anauza mitumba. Na hivyo kupitia hiyo biashara yake, alimrubuni mke wa Cherehani kwa kumpa hela ya kulipa kwenye vicoba na hivyo kutembea naye. Alichokipata, ni ukumbusho wa milele kwake. Maana jamaa aliondoka na vidole vya mikono na kipande cha sikio.
Ya kweli haya sheikh?
 
😃 Huyu dogo nilimvizia sana wakati ule aliposhinda ile zawadi yake ya mchongo ili nimuone live! Kwa bahati mbaya wenye jamii forums yao wakawapa hizo zawadi zao kwa kificho.

Nilipanga kumtafuta kijana mmoja tu ambaye amevaa kofia kubwa la pama ili kuficha masikio yake, au aliyevaa gloves mikononi ili kuficha vidole vyake. Maana yule Mzee Cherehani (muuza mihogo maarufu soko la Kawe) alichomfanyia huyu dogo, siyo poa hata kidogo. 😃

Halafu usichanganye! Mzee Cherehani ndiye muuza mihogo. Huyu dogo anauza mitumba. Na hivyo kupitia hiyo biashara yake, alimrubuni mke wa Cherehani kwa kumpa hela ya kulipa kwenye vicoba na hivyo kutembea naye. Alichokipata, ni ukumbusho wa milele kwake. Maana jamaa aliondoka na vidole vya mikono na kipande cha sikio.
Nadhani Siku ukinikuta nimevalia Msuli natoka Kuoga na narejea Chumbani kwa Mama yako ndiyo utaniheshimu.
 
Back
Top Bottom