Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,637
113,860
Wanabodi,

Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, tangu kitambo kidogo kwa Paul kutambulishwa kwangu nikiwa mjini Dodoma, pale Dodoma Hotel, kiukweli nilimuona kama ni mtu anayejisikia fulani!, anajiona na kama anaringa fulani, ukijumlisha na zile kauli zake za utumbo utumbo za enzi zile kumhusu yule "jamaa yetu", kiukweli kabisa nilimuona ni mtu wa hovyo hovyo tuu na hana maana yoyote hata apewe madaraka gani!. Hivyo alipoteuliwa kuwa DC wa Kinondoni, kiukweli nilimpuuzia tuu na hivi vyeo vya kupeana kwa kuangaliana usoni!, mengi aliyoyafanya kwanza, niliyahesabu ni muendelezo wa kutafuta misifa tuu!.

Kwa maoni yangu kuhusu nafasi za UDC, nilikubaliana na maoni ya Tume ya Warioba, Ma DC ni muendelezo wa colonial legacy ambao kwa sasa ni wastage of time, money and resources, hivyo wako supposed kuwa redundant.

Ma DC zaidi ya kuwa wakuu wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya, ni watu wasio na kazi nyingine yoyote au lolote la maana la kufanya, lakini kiukweli kabisa, huyu DC Makonda, umeuheshisha sana UDC, ameupa hadhi na heshima ya pekee ya ziada u DC, Ma DC sasa wanaonekana ni watu wa maana!, kupitia U DC wa Kinondoni, Paul Makonda emeleta impact kuliko hata RC wa DSM, hivyo position inayomstahiki huyu DC wa Kinondoni wa sasa, bwana Paul Makonda, ni kuwa RC wa DSM!.

Leo nimemsikia akizungumza katika tukio la Malkia wa Nguvu lililorushwa live na Clouds TV, kiukweli nimeguswa sana na aliyoyasema kuhusu bugudha kwa wafanyabiashara ndogo ndogo kuzungushwa kuhusu vibali!.

Akamuagiza ofisa biashara wake kokote aliko, kama hakutazama TV, au kusikiliza redio kuhusu agizo hilo, then mke wake au watoto wake watakuwa wamesikia hivyo wampe ujumbe baba yao kuwa kuanzia Jumatatu, hakuna kukaa ofisini kubugudhi wafanyabishara, bali atoke nje kukagua biashara na kutoa leseni papo kwa papo!, na yeye DC kwa upande wake, kuanzia Jumatatu, ataweka dawati maalum la wafanyabiashara watakao bughudhiwa au kuzungushwa zungushwa, waripoti kwake direct, halafu huyo afisa anayewazungusha, ataipata habari yake!.

Kiukweli, watu wa aina ya DC Makonda, ndio wanaohitajika kukabidhiwa ofisi za umma na nafasi za mamlaka kama hili jiji la Darisalama, akikabidhiwa Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, kiukweli jiji litanyooka!.

Natoa wito kwa Mhe. Rais Magufuli, kufuatia RC wa DSM, Said Meck Sadick kufikisha umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria, (just by look), tunakuomba ututeulie DC Paul Makonda awe RC wa DSM, atakusaidia sana wewe na serikali yako, katika utekelezaji wa falsafa yako ya "HAPA KAZI TUU!". Huyu jamaa akiwa RC DSM, atakula sambamba na vibaka wote na vijana wanaoshinda vijiweni kwa kuwabunia shughuli za kufanya. And you never know hata ile biashara ya wale dada zetu ile, inaweza kupangiwa utaratibu mzuri wa kueweka na hata kuirasinisha kwa kuihalalisha!.

Katika sherehe hiyo ya Malkia wa Nguvu, DC Makonda amedhihirisha wazi yeye ni Balkia wa Nguvu!.

Hongea Sana DC Makonda, sasa unastahili U RC-DSM!.

Naomba kuwasilisha.

Paskali
 
Wanabodi,

Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kitambo kidogo na kuwahi kukutana naye na kutambulishwa kwangu, kiukweli nilimuona ni mtu anayejisikia sana!, anajiona sana na anainga sana, ukijumlisha na zile kauli zake za utumbo utumbo enzi zile, kiukweli kabisa nilimuona ni mtu wa hovyo hovyo tuu hata apewe madaraka gani!. Hivyo alipoteuliwa kuwa DC wa Kinondoni, mengi aliyoyafanya niliyahesabu ni muendelezo wa kutafuta masifa tuu!.

Kwa maoni yangu, niliona nafasi za UDC ni wastage of time, money and resources, na ma DC zaidi ya kuwa wakuu wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya, ni watu wasio na lolote la maana la kufanya, lakini DC Makonda, ameupa u DC hadhi, Ma DC sasa wanaonekana ni watu wa maana, na DC wa Kinondoni anaimpact kuliko hata RC, hivyo position inayomstahiki ni kuwa RC wa DSM!.

Leo nimemsikia akizungumza katika tukio la Malkia wa Nguvu lililoushwa live na Clouds TV, kiukweli nimeguswa sana na aliyoyasema kuhusu bughudha kwa wafanyabiashaa ndogo ndogo kuzungushwa kuhusu vibali!.

Akamuagiza ofisa biashara wake kokote aliko, kama hakutazama TV, au kusikiliza redio kuhusu agizo hilo, then mke wake au watoto wake watakuwa wamesikia hivyo wampe ujumbe baba yao kuwa kuanzia Jumatatu, hakuna kukaa ofisini kubugudhi vafanyabishara, bali atoke nje kukagua biashara na kutoa leseni papo kwa papo, na yeye DC kwa upande wake, kuanzia Jumatatu, ataweka dawati maalum la wafanyabiashara watakao bughudhiwa au kuzungushwa zungushwa, waripoti kwake direct, halafu huyo ofisa anayewazungusha, ataipata habari yake!.

Kiukweli, watu wa aina ya DC Makonda, ndio wanaohitajika kukabidhiwa jiji kama la Darisalama, kiukweli jiji litanyooka!.

Natoa wito kwa Mhe. Rais Magufuli, kufuatia RC wa DSM, Said Meck Sadick kufikisha umi wa kustaafu kwa mujibu wa sheria, (just by look), tunakuomba ututeulie DC Makonda awe RC wa DSM, atakusaidia sanna wewe na serikali yako, kayika utekelezaji wa falsafa yako ya "HAPA KAZI TUU!".

Katika sherehe hiyo ya Malkia wa Nguvu, DC Makonda amedhihirisha wazi yeye ni Balkia wa Nguvu!.

Hongea Sana DC Makonda, sasa unastahili U RC-DSM!.

Naomba kuwasilisha.

Pasco
Mwambie kwanza afute mpango wake wa kutupandisha bure cc walimu yani tupande bila kulipa kwani haya madaladala ya babayake? Hatutaki vya ubwete amwambie magu atuongeze posho zetu
Hapo ataonekana akili zake zimekaa sawa. vinginevo ataendelea kuwa
 
Wanabodi,

Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kitambo kidogo na kuwahi kukutana naye na kutambulishwa kwangu, kiukweli nilimuona ni mtu anayejisikia sana!, anajiona sana na anainga sana, ukijumlisha na zile kauli zake za utumbo utumbo enzi zile, kiukweli kabisa nilimuona ni mtu wa hovyo hovyo tuu hata apewe madaraka gani!. Hivyo alipoteuliwa kuwa DC wa Kinondoni, mengi aliyoyafanya niliyahesabu ni muendelezo wa kutafuta masifa tuu!.

Kwa maoni yangu, niliona nafasi za UDC ni wastage of time, money and resources, na ma DC zaidi ya kuwa wakuu wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya, ni watu wasio na lolote la maana la kufanya, lakini DC Makonda, ameupa u DC hadhi, Ma DC sasa wanaonekana ni watu wa maana, na DC wa Kinondoni anaimpact kuliko hata RC, hivyo position inayomstahiki ni kuwa RC wa DSM!.

Leo nimemsikia akizungumza katika tukio la Malkia wa Nguvu lililoushwa live na Clouds TV, kiukweli nimeguswa sana na aliyoyasema kuhusu bughudha kwa wafanyabiashaa ndogo ndogo kuzungushwa kuhusu vibali!.

Akamuagiza ofisa biashara wake kokote aliko, kama hakutazama TV, au kusikiliza redio kuhusu agizo hilo, then mke wake au watoto wake watakuwa wamesikia hivyo wampe ujumbe baba yao kuwa kuanzia Jumatatu, hakuna kukaa ofisini kubugudhi vafanyabishara, bali atoke nje kukagua biashara na kutoa leseni papo kwa papo, na yeye DC kwa upande wake, kuanzia Jumatatu, ataweka dawati maalum la wafanyabiashara watakao bughudhiwa au kuzungushwa zungushwa, waripoti kwake direct, halafu huyo ofisa anayewazungusha, ataipata habari yake!.

Kiukweli, watu wa aina ya DC Makonda, ndio wanaohitajika kukabidhiwa jiji kama la Darisalama, kiukweli jiji litanyooka!.

Natoa wito kwa Mhe. Rais Magufuli, kufuatia RC wa DSM, Said Meck Sadick kufikisha umi wa kustaafu kwa mujibu wa sheria, (just by look), tunakuomba ututeulie DC Makonda awe RC wa DSM, atakusaidia sanna wewe na serikali yako, kayika utekelezaji wa falsafa yako ya "HAPA KAZI TUU!".

Katika sherehe hiyo ya Malkia wa Nguvu, DC Makonda amedhihirisha wazi yeye ni Balkia wa Nguvu!.

Hongea Sana DC Makonda, sasa unastahili U RC-DSM!.

Naomba kuwasilisha.

Pasco

''If you know the sort of load the chameleon carried, u won't ask why it takes those gentle strides''. Bahasha ya kaki uliyopewa safari hii si mchezo
 
Umelipwa shingapi na Makonda katika kuandika hili?
Mkuu ni ugeni tuu humu jukwaani hatujuani, kwa kukusaidia tuu, mshahara na marupurupu yote ya DC ndio pesa ninayolipia pango tuu la nyumba ya NHC niliyoipangisha mjini kati!, nikijumlisha na mishahaa ya watu wangu, nawalipa ma DC 5!, hivyo huyo DC wa kumlipa Paskali amlipe kwa pesa gani?!.

Japo kuna kauli everybody has a price, Paskali has no price!, nini Makonda anilipe, hata Magufuli hawezi kunilipa ndio itakuwa Makonda?.

Paskali.
 
Mkuu ni ugeni tuu humu jukwaani hatujuani, kwa kukusaidia tuu, mshahaa na marupurupu yote ya DC ndio pesa ninayolipia pango ntuu la nyumba ya NHC niliyoipangisha mjini kati!, nikijumlisha na mishahaa ya watu wangu, nawalipa ma DC 5!, hivyo huyo DC wa kumlipa Pasco wa jf, amlipe kwa pesa gani?!.

Japo kuna kauli everybody has a prrice, Pasco wa jf, has no price!, nini Makonda anilipe, hata Magufuli hawezi
kunilipa itakuwa Makonda?.

Pasco
Povu LA nini braza?
 
Mkuu Pasco,mbona kama umechomwa na kitu chenye ncha kali??
 
Back
Top Bottom