Nimemfumania mchungaji

Ekitarangwe

Member
May 29, 2008
13
0
Haya wana JF Nipeni ushauli nimemkuta mchungaji anavunja amri ya sita na mkewangu akaniomba nisimzuru ila twende wote kwake namimi nikamgonge ngozi mkewake, kufika kwamkewe akampa full mkanda nakilichotupeleka pale mwanamke akagoma kutoa mashine akasema mmalizane hukohuko msinihusishe mimi sasa nifumbe macho nimgonge huyu mtumishi wa mungu? manake yukotayali kufanyiwa chochote ilimladi nisitangaze waumini wakapata huu mkada, na mwanamke nimfanyeje?
 
hapo hakuna cha mchungaji wala muumini! words speaks louder
 
Mwombe ushauri FIDEL au MASANILO mie najitoa kusikiliza hili shauri
 
msindikize akapime maana huwezi jua analisha kondoo wangapi wa bwana na kama wote wapo salama.
 
Ekitarangwe yawezekana sana kumsamehe saba mara sabini,lakini mke wako abaki kuwa Mke wako.labda kama ungemfumania Shekhe yeye tungeangalia SHARIA inasemaje kuhusu wazinifu.
 
Da,
zile bangez ulizokuwa unatumia tukiwa shule kumbe bado hazijaisha??
Da.. Mchungaji huyo kiboko, ana uwezo wa kumsimulia mkewe kuwa amefumaniwa halafu anamwambia mkewe kuwa huyu jamaa anataka akumege kiluguru ili anisamehe...
Hapo kaka full mamoshi ya bangi
 
Haya wana JF Nipeni ushauli nimemkuta mchungaji anavunja amri ya sita na mkewangu akaniomba nisimzuru ila twende wote kwake namimi nikamgonge ngozi mkewake, kufika kwamkewe akampa full mkanda nakilichotupeleka pale mwanamke akagoma kutoa mashine akasema mmalizane hukohuko msinihusishe mimi sasa nifumbe macho nimgonge huyu mtumishi wa mungu? manake yukotayali kufanyiwa chochote ilimladi nisitangaze waumini wakapata huu mkada, na mwanamke nimfanyeje?

Wacha kutuhadaa watu wazima hapa!

Kwahiyo naweye ukawa umeisha jiandaa kumbanjua mke wa mchungaji ambaye mumewe ndo kajisema kwake?

Sasa kumbe naweye unatofauti gani na huyo mchungaji?
 
Haya wana JF Nipeni ushauli nimemkuta mchungaji anavunja amri ya sita na mkewangu akaniomba nisimzuru ila twende wote kwake namimi nikamgonge ngozi mkewake, kufika kwamkewe akampa full mkanda nakilichotupeleka pale mwanamke akagoma kutoa mashine akasema mmalizane hukohuko msinihusishe mimi sasa nifumbe macho nimgonge huyu mtumishi wa mungu? manake yukotayali kufanyiwa chochote ilimladi nisitangaze waumini wakapata huu mkada, na mwanamke nimfanyeje?

Ushauri wangu ni huu:

1. Tuliza moyo: ukiweza samehe na mweleze mkeo kuwa una wasiwasi na upendo wake kwako na future ya ndoa yenu.

2. Usipoweza kumsamehe ni alama kuwa upendo umeanza kupungua na chanzo kinaweza kuwa wewe mwenyewe au yeye au wote wawili.

3. Usimpige mkeo wala mchungaji wala kutenda chochote cha kuwadhuru.

4. Si busara pia kutangaza kwa watu wengine kuwa umefikwa na mkasa kama huo. Kama ukitangaza itaonekana tu kuwa ni wewe uliyeshindwa kumhudumia mkeo kiasi cha kutosha hadi kumpa nafasi ya kuchukuliwa na mchungaji.

5. Ningekuwa mimi kama ukiamua kusamehe - ningeenda na mke wangu kwa mchungaji na mashahidi wengine wawili (wenye busara) na kuongea yaliyotokea. Yaani, kuwaomba hao wawili wakiri kuwa ni kweli wamefanya hivyo na wanaahidi kutorudia.

6. Hiyo inaonyesha kuwa kuwa sisi binadamu ni dhaifu hata kama tunapendana kikwelikweli.
 
Hizi stori za kutunga sasa.Wekeni thread za ukweli na zinazohitaji msaada wa wanajamii na sio kujitungia stori.
 
Mvalishe shanga mchungaji na umshughulikie kisawasawa kama fundisho. Mke wako mpe kipigo cha mbwa mwizi na mteme mara moja, mke wa mchungaji hana sababu ya kuhusishwa na mkasa huo.
 
Kaka hapo na wewe mpe huyo mchungaji tigo ili wote mmalize mchezo!!! Wewe na mkeo hakuna wa kumcheka mwingine.
 
kutokana na Bw. Rwabugiri, nyie wote ni wezi watupu, Usihukumu, usije ukahukumiwa. Ungekula jiwe pale ulipowafuma na kusahau kabisa.
 
Wewe uchune tu then present issue hiyo kwa mke wa mchunga kondoo then lamba mke wake na kama ana mtoto mkubwa wa kile chapa na kama ana dada vilevile. Kaanza wewe maliza. Tena kama mimi mkewe ningepiga mitandao yote voda na tigo. Nyambafu!
 
T. M agobe ushauri wako watu wakiusoma na wakikujua watamtafuta mkeo wamgonge manake wanajua watasamehewa tu. Ulishawahi kuwa padre au mchungaji ukawa na mchezo huo nini?
 
Haya wana JF Nipeni ushauli nimemkuta mchungaji anavunja amri ya sita na mkewangu akaniomba nisimzuru ila twende wote kwake namimi nikamgonge ngozi mkewake, kufika kwamkewe akampa full mkanda nakilichotupeleka pale mwanamke akagoma kutoa mashine akasema mmalizane hukohuko msinihusishe mimi sasa nifumbe macho nimgonge huyu mtumishi wa mungu? manake yukotayali kufanyiwa chochote ilimladi nisitangaze waumini wakapata huu mkada, na mwanamke nimfanyeje?

Kama huyo mchungaji kasema umfanyie chochote then msukumie meat maana naona unataka kulipiza kisasi. Vinginevyo ungemsamehe yakaisha halafu hana hata haya eti uende ukamrukie mkewe ili mradi tu waumini wajue yupo fasi kumbe holaa!..
Baada ya kumshughulikia mtangaze vizuri kwa hadhara kanisani kwake.
 
Wewe uchune tu then present issue hiyo kwa mke wa mchunga kondoo then lamba mke wake na kama ana mtoto mkubwa wa kile chapa na kama ana dada vilevile. Kaanza wewe maliza. Tena kama mimi mkewe ningepiga mitandao yote voda na tigo. Nyambafu!

Shangaziiiiiiiiii! Duh, ungekuwa mjombaaa!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom