ahahaa re...........................................................ao ? nini mbona hb sana yuleWe angalia hilo lipua
Hunitakii mema wewe unataka nipigwe Ban
itakuwa avator ya mtu muda si mrefu hii!
Natambua wote huyu member mnamjua haswaa wale wa kwenye jukwaa la sihasa.
Alikuwa anakata mayenu baada ya uchaguzi wa lgunga.
Hahahaha, siku ukinifumania nacheza kiduku itabidi nije na ID mpya.
teh teh teh teh, babu kanifurahisha zaidi, anazungusha nyonga si mchezo.
kidole kaweka juu, wimbo ni taarabu???
Hahahaha, siku ukinifumania nacheza kiduku itabidi nije na ID mpya.