nimem'badilikia gafla-sijisikii kumuoa tenai!!

nishaurini....nipige chini mazima nianze upyaa?
yaelekea kuna "personality clash".....kati yenu..........wewe umeitambua na mwenzio vivyo hivyo............yeye kujisikia sana ni dalili ya kuwa anajiona yu bora sana au yuko juu zaidi ya kwako.......................na wewe kukwaruzika kiasi cha kumchukia yaashiria ya kuwa wajiona u mnyonge kwake vinginevyo ungelimpuuza majigambo yake na ukaendelea naye bila ya zengwe..................kwa lugha ya wenzetu wewe una..................very low self-esteeem na yeye ni hopelessly egoistic.........................

kujitambua nafsi yako na kuitambua nafsi ya mwandani wako ni hatua kubwa ya nyote kuwasiliana ili mjirekebishe..................

Swali langu kwako ulikwisha kumegewa hapo..........baada ya kunijibu hapo nitakuwa na neno tamu la nyongeza................vinginevyo alamsiki................ila halahala........usiache mbachao kwa msala upitao.......................
 
sio kawaida kunatatizo na nishatatua mengi unachotakiwa kufanya nipe no yake kwa pm kisha utapata majibu na utamfuraia sana
 
Kaka mpendwa Mkonowapaka, unasema hujawahi kumpenda ila ulinaswa,
Na kama uliweza kunaswa wakati hupendi na kukaa nae muda wote huo?
Huoni kama wewe ni mwongo na huna mapenzi ya kweli?

Mwenzio alikupenda kwa dhati, na akakuonesha kwa moyo wake wote,
Na kujitoa kwako mzima mzima, kumbe wewe ulikuwa unamdanganya tu,
Unamuona mjinga,mpumbavu na umempotezea muda yawezekana na mali zake.

Umesema mwenyewe ni mwaminifu, kwa maana kwamba alikuwa muaminifu kwako
Alikuamini, kumbe wewe hukuwa mwaminifu wala mwenye mapenzi ya kweli.

Duu kaka umeniudhi kwa kuwa tapeli wa mapenzi.
Hicho unachosema unakisikia sijui humpendi, sijui anajikweza huo ni uongo wa kuidanganya jamii tu.
Lakini ukweli ni hu kwamba HUPENDIIIIIII tangu mwanzo.


Dada mshukuru Mungu na mwombe akupe neema ya kumsamehe huyu jamaa,
Afadhali neema ya Mungu ikuepushe na mtu wa jinsi hii mapema kabla hujaingia kwene ndoa.

Manake hata mkiingia huko, baada ya muda atakwambia hakukupenda ni wewe tu ulijipeleka kwake.
Tena ni hivi, hivi ataiambia jamii, imshauri kwa sababu alioa mke asiyempenda.

Mind you dada. Hakupendi wewe from the begining sijui since 2007.
Hata ukikaa unaongea nae ujue unaongea na mtu asiyekupenda tangu mwanzo wa safari yenu ya mapenzi.

He dont love you.
Jiweke pembeni, Mungu ni mwaminifu, endelea kuwa mwaminifu dada angu,
Utampata mtu mwenye upendo wa kweli, na mwenye kujua thamani ya upendo wa kweli.
 
Kata mti panda miti ng'ombe hatoi maziwa unamfuga wa kazi gani,ng'ombe ukimkamua anarusha miguu hataki chinja ule nyama,chini ndio mpango..............
 
dahh... ee bwn sometime misholi inakinai kinoma unapokuwa nae kwa mda, hapa inaonesha umekula mzigo mpaka uanahisi kinyaa, kama vp mteme tu si humpendi ulikuwa kimzigo zaidi.
Hata mie ilinitokea mbona nikatema tu na laifu linasonga nae kashechukuliwa...
 
yani nimesoma hiipost nimesikia uchungu kabisa, since 2007 ndo unakuja ku realise kuwa u dont fill to be with her now???, ama kweli shetani hana sura bali ni mtu!
 
mkimbize uyo
dah ukikutana na wanaume/wanawake WENYE MAFAGIO WANABOAAAAAAAA...mkimbize uyo kwa swaga izo atakutreat km
1.wewe masikn tu umekuja kwake dzain ntoke vp
2.we kilaza tu huwez sema wala jua lolote dunian apa
3.hatajishugulisha ili ucheke ATAONA ELIMU +KISENT CHAKE KINATOSHA
4.atakufanya km mtumwa au sabodinate flan iv
5.hana utu yey kila kitu anaconvert kwenye pesa na elimu...
6.ana closed mind ...hawez ruhusu mawazo toka nje yeye anaona ndo final wat he thk n does ndo right wengne woooooote mafsi tu hamjui chochote

MKIMBIE WEWE MWACHE NA MAFAGIO YAKE....kilichokuboa ni icho mafagio ndo mana ata ladha ya kuwa nae tena kiunyumba neh....
 
Back
Top Bottom