Nimekutana na ex wangu ila hataki hata salamu yangu. Nimejisikia vibaya sana

Al-Hadidy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,404
3,063
Ilikiwa wiki iliyopita mwishoni nikiwa natoka ibadani nilimuona msichana mmoja ambaye sura yake haikua ngeni kwangu ila nilihisi kama nimemfananisha tu,nikaendelea na mishe zangu sasa jioni ya siku hiyo nikiwa natoka tizi tukakutana tena kumbe ni kweli aliyekuwa laaziz wangu,moyo ulidunda kwa furaha jinsi alivyozidi kupendeza nikafarijika sana.

Tatizo likawa pale ambapo nilimsalimia zaidi ya mara mbili hakuitikia salamu yangu zaidi ya kunicheki kwa kejeli,niliumia sana hadi nikajuta shobo zangu.

Jumapili tena nikiwa natoka dukani nikakutana naye tena nikajipa confidence tena nampa salamu haitikii nikaamua kumvuta mkono twende pembeni kilichotokea kinaniuma sana alinitukana matusi ambayo sikuamini kama ni yeye kayatoa jinsi tulivyokuwa mwanzo.

Kwa maumivu niliyokuwa nayo mixer kofi alilonipiga nilijikuta niangusha kila kitu nilichoshika naye akasepa na onyo kuwa nikizidi kumsogelea atanifanyia kitu kibaya nilishindwa kula siku nzima hata maji yenyewe yalikuwa hayapiti kooni,nimeumizwa sana na hili tukio hadi najuta kwa nini nilitokea kupenda.

NB:
Sina kosa lolote nililomfanyia ila nadhani ni sumu ya chuki aliyopewa kutokana na matatizo ya huko nyuma.

Omba yasikukute!!!!
 
Ilikiwa wiki iliyopita mwishoni nikiwa natoka ibadani nilimuona msichana mmoja ambaye sura yake haikua ngeni kwangu ila nilihisi kama nimemfananisha tu,nikaendelea na mishe zangu.
Sasa jioni ya siku hiyo nikiwa natoka tizi tukakutana tena kumbe ni kweli aliyekuwa laaziz wangu,moyo ulidunda kwa furaha jinsi alivyozidi kupendeza nikafarijika sana.

Tatizo likawa pale ambapo nilimsalimia zaidi ya mara mbili hakuitikia salamu yangu zaidi ya kunicheki kwa kejeli,niliumia sana hadi nikajuta shobo zangu.

Jumapili tena nikiwa natoka dukani nikakutana naye tena nikajipa confidence tena nampa salamu haitikii nikaamua kumvuta mkono twende pembeni kilichotokea kinaniuma sana.Alinitukana matusi ambayo sikuamini kama ni yeye kayatoa jinsi tulivyokuwa mwanzo.
Kwa maumivu niliyokuwa nayo mixer kofi alilonipiga nilijikuta niangusha kila kitu nilichoshika naye akasepa na onyo kuwa nikizidi kumsogelea atanifanyia kitu kibaya.

Nilishindwa kula siku nzima hata maji yenyewe yalikuwa hayapiti kooni,nimeumizwa sana na hili tukio hadi najuta kwa nini nilitokea kupenda.

NB:SINA KOSA LOLOTE NILILOMFANYIA ILA NADHANI NI SUMU YA CHUKI ALIYOPEWA KUTOKANA NA MATATIZO YA HUKO NYUMA.

OMBA YASIKUKUTE!!!!
Mkuu siku ingine usimsimamishe ukiwa kwa mguu tafuta shekeli nunua mtambo mmoja matata ukimsimamisha huwe ndani ya Ndiga uone kama atachuna na kukutolea shombo.
 
From top to bottom
1.when u see her first time
2.when u are in relation with her.
3.when she become u're ex.


Pole sana mzee baba
IMG-20181028-WA0022.jpg
 
Back
Top Bottom