Nimekuletea list za biashara mbalimbali.... Kamata moja ujikomboe

Aisee... hapo ni kuangalia biashara ipi inafaa mahali ulipo na mtaji wako, ahsante sn mkuu
 
Mhhh sasa leta na maelekezo ya hela za mkopo tupate wapi?
9dfde25e8d3892ae0d47b4c71f895893.jpg
 
NIMEKULETEA LIST ZA BIASHARA MBALIMBALI.... KAMATA MOJA UJIKOMBOE.
1. Kununua Mashine kukoroga zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali.
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni.
6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.
7. Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
8. Kushona na kuuza nguo.
9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.
11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.
12. Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.
13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha.
15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta.
16. Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
17. Kuuza Mitumba.
18. Kusimamia miradi mbalimbali.
19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali.
20. Kufungua banda la chakula na chips.
21. Kukodisha turubai viti na meza.
22. Kufungua Supermarket.
23. Kufungua Saluni.
24. Kufungua Bucha
@25. Video Shooting & Editing.
26. Kufungua Internet cafe
27. Duka la kuuza matunda.
28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.
29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati.
30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT.
31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k.
32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor).
33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k
34. Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.
35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
36. Kukodisha Music.
37. Kuanzisha Mradi wa Taxi.
38. Kuanzisha mradi wa Daladala.
39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.
40. Kununua magenerator na kukodisha.
41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu.
42. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP).
43. Kuuza mabati na vigae.
44. Kujenga apartments.
45. Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote.
46. Kufungua Duka la samaki.
47. Kufungua Duka la nafaka.
48. Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo.
49. Kujenga hostel.
50. Kuuza vocha na ving’amuzi vya DStv, Zuku, Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.
51. Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
52. Ufundi simu.
53. Kufungua Hospitali, Zahanati.
54. Maabara ya Macho, Meno.
55. Kuchimba/Kuuza Madini.
56. Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax.
57. Kuuza miti na mbao.
58. Kufungua Grocery/Kiosk.
59. Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha.
60. Kucharge simu/battery.
61. Duka la TV na vifaa vingine.
62. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe na tamasha mbalimbali (catering).
63. Banda la kupigisha simu.
64. Kuuza na kushona Uniform za shule.
65. Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari.
67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe.
68. Kuuza fanicha.
69. Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.
70. Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)
71. Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
72. Kuuza vioo.
73. Kushona na kukodisha nguo za harusi.
74. Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari.
75. Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine).
76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc).
77. Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi.
78. Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya redio na televisheni.
79. Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games).
80. Kufungua benki.
81. Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga.
82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k.
83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali.
84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane).
85. Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.
86. Kuanzisha viwanda mbalimbali.
87. Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.
88. Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali.
89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha.
90. Kutengeneza antenna na kuuza.
91. Kufungua mradi wa Machine za kusafisha, kutoboa na kuchana mbao.
92. Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo.
93. Biashara ya kuagiza magari.
94. Kufanya biashara za Jukebox.
95. Kukodisha matenki ya maji**
96. Kufungua duka la kuuza Asali.
97. Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha.
98. Kufungua Duka la vinyago, batiki.
99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY PESA.
100.Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).
101. Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.
102. Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).
103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi.
104. Kufungua kampuni ya "Clearing and fowarding"
105. Kuchezesha vikaragosi.
106. Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki.
107. Kuuza baiskeli.
108. Kuuza magodoro.
109. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe, vijiko,
110. Kuuza marumaru (limestones).
111. Kuuza kokoto.
112. Kuuza mchanga.
113. Kufundisha Tuisheni.
114. Biashara za bima.
115. Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya anga (ndege).
116. Biashara za kitalii.
117. Biashara za meli na maboti.
118. Kampuni ya kuchimba visima.
119. Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa kujitegemea.
120. Kuuza mkaa.
121. Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali.
122. Kampuni ya kupima ardhi.
123. Kampuni ya magazeti.
124. Kuchapa (printing) magazeti.
125. Kuuza magazeti.
126. Kuchimba mafuta.
127. Kiwanda cha kutengeneza mabati.
128. Kiwanda cha kutengeneza fanicha.
129. Kiwanda cha kutengeneza matairi.
130. Kutengeneza vitanda vya chuma.
131. Kununua nyumba katika Maghorofa (Apartments) na kuzikodisha.
132. Kukodisha makapeti.
133. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe.
134. Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.
135. Kazi ya ususi na kusafisha kucha.
136. Kuuza Gypsum.
137. Malori ya kubeba mafuta na Mizigo.
138. Duka la kuuza mboga za majani.
139. Duka la kuuza maua.
140. Kampuni ya kuzoa takataka.
141. Kampuni ya kuuza magari.
142. Kuuza viwanja.
143. Uvuvi.
144. Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi.
145. Uchoraji wa mabango.
146. Duka la kuuza Cd/Dvd.
147. Ukumbi wa kufanyia semina.
148. Biashara ya mlm (network marketing).
149. Yadi kwa ajili ya kupaki magari.
150. Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimo.
151.Kuendesha bodaboda,Taxi,Daladala,Carry.
KAMA YOTE HAYA UMESHINDWA KUPATA LA KUFANYA, BASI TUENDELEE KUWA WAAJIRIWA WA SERIKALI NA TUSUBIRI KUSTAAFU TU.

Biblia Inasema,
Hatutakuwa mikia,
Hatutakopa bali Tutakopesha mataifa.
Asante
 
asante sana kwa kuongeza tafakari vichwani mwetu, nimeyapenda mawazo na fikra zako.
 
Najua nikitulia sikosi hata mbili shukrani mkuu

Asante sana mm tayri nimechukua namba 28. Hii ndio plan yangu kwa mwezi wa kwanza 2017.tayri tasimini nimefanya. Kwa hapa K/KOO
Kodi ya frem,kwa mwaka.
Mshahala w kijana.
Na mtaji pia.
Mungu simamia hili langu.
 
Back
Top Bottom