Nimekikumbuka kipindi cha Africa Bambataa

Na Amina chipa marehemu. Pia chuchuchu vyote yeye ndio mwanzilishi.

Kuna DJ too short!
Yule mtoto kiukweli aliweza kuwateka wasikilizaji wa redio na ndiyo mwanzo wa Clouds kuwaingia wasikilizaji akilini mpaka mioyoni.

R.I.P Amina Chifupa
 
Back
Top Bottom