Nimejitwika mabomu, handaki jichimbieni.

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,006
1,254
Hodi hodi jamvini, wakubwa nawasalimu,
Niliingia mitini, kwenda tafuta modemu,
Nillijifekia bani, sasa narudi kwa hamu,
Nimejitwika mabomu, handaki jichimbieni.

hakyamama......eeehhh.....we njoo na mabomu yako utakutana na makombora
 
Hodi hodi jamvini, wakubwa nawasalimu,Niliingia mitini, kwenda tafuta modemu,Nillijifekia bani, sasa narudi kwa hamu,Nimejitwika mabomu, handaki jichimbieni.
Unataka kujilipua??
 
duu! nimekukukbali ndugu naona umekuwa gesti kwa miaka kadhaa ikabidi ujilipue kwa kuingia moja kwa moja kwenye jamii yetu karibu sana..
 
duu! nimekukukbali ndugu naona umekuwa gesti kwa miaka kadhaa ikabidi ujilipue kwa kuingia moja kwa moja kwenye jamii yetu karibu sana..
Nilidhani "gesti" kumbe ulimaanisha "guest". Sjaingia siku nyingi huko "gesti".
Asante lkn
 
hatutachimba handaki, biti usitupigie
karibu sasa sitaki, baki nje jionee
njoo hata na fataki, hofu hututii sie
lishindwa wabunge feki, nape na wake perege
yavue uje ule keki, ndani kuna raha teleeeeeeeeee!!!!
 
Back
Top Bottom