kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.