Nimejifunza mengi katika mahusiano yaliyopita

Uuuuuuwi ubongo wangu mgumu kukumbuka
Kama ni gar bhaas gia ya reverse hakuna
Sikumbuki chochote nikiachana nafanya format upya naanza kuweka new data
 
ahaaaa kuna x wengine kuwasahau ni ngumu jamani,,,ukikumbuka viuno vyao balaaaa,,,upande mwingine ukikumbuka usaliti wake unaingiwa na chuki tu
 
Moja wapo ni hili,

Mimi nilifikiri kwamba wanawake wakimya, watulivu ndio waaminifu kuliko wanawake waongeaji, wacheshi na crazy lady kumbe siyo kabisa. Kweli usihukumu kitabu kwa cover lake. Kikubwa zaidi nimejifunza, haijalishi ni kwa kiasi gani unamjali au umewekeza kwake, akiamua kukuacha anakuacha tu pamoja na kuwa umewekeza pesa zako nyingi au laa.

Je, wewe umejifunza nini kwa x wako?

Unawekeza kwa mwanamke?
Kwani amekuwa mradi?
YEreuwiiiii!
 
she was the best thing in my life....my precious but it was never meant to be......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom