Nimejifunza mengi katika mahusiano yaliyopita

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Moja wapo ni hili,

Mimi nilifikiri kwamba wanawake wakimya, watulivu ndio waaminifu kuliko wanawake waongeaji, wacheshi na crazy lady kumbe siyo kabisa. Kweli usihukumu kitabu kwa cover lake. Kikubwa zaidi nimejifunza, haijalishi ni kwa kiasi gani unamjali au umewekeza kwake, akiamua kukuacha anakuacha tu pamoja na kuwa umewekeza pesa zako nyingi au laa.

Je, wewe umejifunza nini kwa x wako?
 
Silent Killers

Waogope, napenda mke wangu awe anaongea kama chiriku
 
Mimi nakumbuka tu fedha nilizowekeza I put in a wrong place ni bora hata ningenunua tofali au vifusi vya mchanga
 
Hivi niambieni ni nani katika hao waliforge hivyo vyeti waliotia mikataba ya uongo yenye kuwadhalilisha wananchi? Hao wenye Diploma hizo fake wala sio hata mmoja wao ana kashfa. Jamani tuache kuwaonea watu ambao hawana makosa. Vyuo vimewapa vyeti, kama ni vya chini hilo si suala. Hivi Institute of Sales Promotion ile ya Kurasini na kile Chuo cha Uhasibu cha kurasini vilikuwa sawa? Vyote vilitoa Diploma. Tutafute mtu ambaye katumia vibaya diploma yake kama Chenge na Mama Ndosi ambao walipitisha hiyo mikataba, hao resume zao maybe ndiyo mnaona ni za kweli. Hawa wana diploma zinazofahamika, lakini walipitisha mikataba ya ajabu. Angalieni sasa NSSF wamefanya nini!

Nitamjaji muajiriwa wangu kama atanipa resume nzuri na kunifanyia kazi mbovu. Tuanze kuwajudge hawa waliotumia elimu zao vibaya kwanza. Hawa wengine hatuna ushahidi nao.

Haswaa,Wallah umejifunza vyema,mara nyingi sana mabinti waongeaji na machachari wakifanya uhuni ni rahisi kuwagundua na wengi wao si wahuni ILA hawa wapole na wakimya kwnz wengi wao wana roho mbaya mkuu,nimeshuhudia mengi kutoka kwao hawa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom