nimeitwa kazini afisa tarafa.

Mama Jolene

Member
Mar 30, 2012
17
3
Wakuu namshukuru sana Mungu maana nimepokea barua ya kuitwa kazini. Cha ajabu hawajatoa majina kwenye web. Kuna siri gani hapa?
 
Wakuu namshukuru sana Mungu maana nimepokea barua ya kuitwa kazini. Cha ajabu hawajatoa majina kwenye web. Kuna siri gani hapa?

wewe nenda kapige kazi ujenge taifa, mambo ya kutoa majina kwenye web hayana cha zaidi Afisa tarafa,kwani uliapply through web!!!, au unahitaji kapromo nini ulimwengu ujue kuitwa kwako bibi afisa!!
 
Wakuu namshukuru sana
Mungu maana nimepokea barua ya kuitwa kazini. Cha ajabu hawajatoa majina
kwenye web. Kuna siri gani hapa?

hivi kazi za afisa tarafa ni zipi jamani na wanaajiriwa kwenye idara gani?
 
Iko hivi ndugu.... Wakati wa usaili wa mahojiano marks hutolewa kwa kila mtu. Wale wote waliopata zaidi ya 50 huchukuliwa mfano, tangazo linataka watu 10 na mliopata zaidi ya 50 ni 20, 10 huchukuliwa then 10 wengine hubaki reserve.
Ikitokea nafasi mpya kama hiyo, hao walioko reserve hupangwa mpaka wakiisha ndo tangazo la nafasi kama hiyo hutangazwa tena...

Hicho ndo kilichotokea kwako ila wewe naona ulikuwa unataka uonekane kwenye mtandao kwamba umepata kazi................
 
Mwisho wa kazi yako ni 2015. Tukichukua nchi kwenye sera ya majimbo sijui kama tutawahitaji Makatibu Kata/Tarafa.

Hongera lakini kwa sasa, ila kafanye kazi kwa uadilifu walau muda ukija tukutafutie kazi mbadala.
 
Ni zile walitangaza mwezi may 2012 au? Mi nli apply ila cjapataga fidbak kabisa..
 
Back
Top Bottom