Nimeipenda hii staili ya uongozi shirikishi

CDM wasinge chakachua maendeleo yange kuja tu hata wange loga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Vifaa vya kuhifadhia uchafu vikiwa nje ya ofisi ya taasisi ya kusimamia mpango wa maendeleo ya wilaya ya Hai.Vifaa hivyo pamoja na trekta lenye tela limetolewa na Mh Mbowe kwa ajili ya kukusanyia taka katika
jimbo hilo.
 

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa jimbo la Hai,mh Freeman Mbowe akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Taasisi ya Kusimamia Mpango wa Maendeleo ya Wilaya ya Hai ( HAKIDI).

Mbunge wa jimbo la Hai mh Freeman Mbowe akiongoza wabunge wenzake Leticia Nyerere mbunge wa viti maalum Mwanza na Joseph Mbilinyi ,mbunge wa jimbo la Mbeya mjini kupandisha bendera katika ofisi ya taasisi ya kusimamia mpango wa maendeleo ya wilaya ya Hai.

Mbunge wa jimbo la Hai mh Freeman Mbowe akimwagia maji moja kati ya miti 2000 iliyooteshwa katika jimbo hilo.
 
Hongera kwa kuonyesha mfano,mmmh yule jamaa niliwahi kumuiona anacheza kiduku alipoenda jimboni/nyumbani kwao Bwagamoyo!
 
Back
Top Bottom