Nimeipata ile PhD asanteni

6. Portable Hard Drive
7. Post Hole Digger
8. People Helping the Disabled
9. Pre-Hearing Detention
10. Post Holiday Depression
11. Professional Help Desk

Hongera sana Dr. Kithuku ni hatua moja muhimu hiyo mkuu.

Kirefu changu cha PhD ni Popote Hata Deci meaning ukiwa na PhD usichague kazi popote unafanya ili mradi pamelenga kumpunguzia umasikini mlalahoi wa kitanzania kama ilivyolenga Deci.
 
Hongera sana Mwalimu - Nami Niombee I Hope Mwaka 2012 - 2013 Hivi

Hakuna swala la kuombeana, www piga kazi tuu, ukitarajia kuombewa utabweteka usubiri muujiza na mwishowe usije na safari isifanikiwe... Hard way is the only way, work hard utafika tuuu!
 
Hongera sana Dr nanii (Najua si Dr Kithuku bali ni nanii, unajua wewe) kwa kuhitimu PhD. Maana kupata PhD ni wengi tu huwa wanapata hata kwa miezi sita ila kuhitimu ni wachache sana
 
Thumbs up!

thumbsupag3.jpg
 
Hongera sana mkuu. Ingawa si vibaya kutupasha umebobea katika fani gani maana fani zote zinahitajika na zinategemeana
 
Congrats Dr. Kithuku,

Ushapata Player Hater Disease sasa usije hapa uka hate, lol!

Sasa wanaposema "The more you know the more you know you don't know" ni kweli au wazushi wana gele tu?

Ni vile tunaheshimu siku yako tu, ila kama sivyo tunge question huyo mungu kama kweli yupo au ni taadhima za kitamaduni na mapokeo tu.

Imekuwa so long mpaka nimesahau ulikuwa unachukua mkwepuo gani tena.

Tunahitaji vipanga zaidi hapa ili hili jamvi la "Great Thinkers" lisigeuke polepole kuwa kambi ya "Great Sinkers" kama alivyojisemea member mmoja hapa.
 
Poor Hair Distribution..
ahahaha
.mbona waku nakaribia kukamata masters lakini naona some of my hair zinapotea ? sasa itakuaje wakuu itabidi tuitafute hii P-H-D...Hii ndio ya ukweli,sema nikifikiria mambo ya kuwa na jiko tena duh !hapa nshaona kuna dalili unazaa toto linaanza kukuita babu. ah! " nature itaopareti "
 
Hongera mkuu,Watanzania wanahitaji sana watu wa aina yako,waadilifu na wanaowajali wengine.
 
Hongera sana Daktari. Tunasumbiri kuona utakavyotutatulia matatizo yetu baada ya kuwekeza kwenye elimu yako kwa zaidi ya robo karne. Big hugs to you and ur family.
 
Back
Top Bottom