Nimeingia mtandao wa X (Twitter)na kuondoka mwenyewe

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,265
9,389
Yah sio mara ya kwanza kujiunga na mtandao wa X hii ilikuwa mara ya pili nikiamini labda mda huu ninaweza kumudu ila nikashindwa tena.

X Kuna negativity sio za dunia hii.
X kuna majadiliano yenye kuumiza na kuvunja sana moyo eg mgogoro wa Palestine na kule Nigeria north unaona yanayotokea hadi nafsi inakata tamaa.

X Kuna picha na video za ngono zimetapakaa hadi sio poa. X Kuna matusi na fujo.

Kimsingi ni rough street kama auhitaji kwenda kule Baki Facebook na JF ni safe sana.
 
Ni kweli ule mtandao una members wenye Negativity hapana mchezo.

Ukiwa na uwezo and famous automatically wewe ni adui wa Siri kwao
Ule mtandao kutengeneza vita ni rahisi eg ukiangalia michango ya members hasa kuhusu vita Nigeria na Palestine unaweza kuwachukia watu kuliko kawaida
 
Mtandao wa X kama Jina lake tu.
Ni porn forum na Sasa ni haijalishi umefollow au la mtu akilike huko aliko inafika na kwako mengine ni malesbian magay na uchafu wa Kila aina
Halafu sio kama Jf wenyewe unatengeneza dependence sana Kila saa utataka uingie
 
Back
Top Bottom