REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,297
- 1,828
Habari wakuu
1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je