Nimefurahi Kuona Vyombo(mitungi) , Tafrija ya Ikulu, nzuri sana

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Leo ni Siku muhimu Kwa Mkoa wa Dodoma ambao ni makao makuu ya Jamhuri ya Muubgano wa TAnzania, kwani unafanyika Uzinduzi wa Jengo la Ikulu (State House ambayo pia ni Ofisi na Makazi ya Raisi na Makamu wa Raisi.
Kwakweli Leo nimefarijika sana na uandaaji wa Tafrija hii kwani wameweka na Vyombo (Mitungi) Karibu katika Kila meza. Nchi imeonesha kuenzi utamaduni wetu wa Kunywa Pombe, kiuhalisia pombe ni utamaduni wetu na karibu katika Vijiji vyote nchi takribani 12,000 pombe zinanyweka.

Sherehe yetu ya Leo itafana Sana. Wazee wa Vyombo , Drink and Enjoy it
 
Vp mzee wa tungi?
 
Weka japo picha picha mkuu za mitungi tuzione....
 
Back
Top Bottom