Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Ahsante "MSINDIMA" Duh, jina limenikumbusha mbali
Karibu sana, limekukumbusha wapi???
Ahsante "MSINDIMA" Duh, jina limenikumbusha mbali
ShikaMoo..
Hamjambo watoto, vijana, wazee, wake kw waume - while surfing net, nimegunduwa kumbe kuna jamii hapa.
Nikaribisheni!!!:yo:
Jamani MANYANZA wantisha mie walah!karibu jamvini, zingatia masharti,kanuni, sheria za hapa jamvini
karibu BOLT,karibu sanaaaaaaa..........tena ujumuike nasi kwa raha na furaha,majukwaa nyenye mambo ni mengi, na vitu ni vingi, ila polepole tena kwa utaratibu na utulivu,kwani humu kuna kila aina ya SPANNER iwe fix,ring,box,pipe range,pliers,adjustable spanner,koleo na hata tindo kama unakataa kufunguka au kukazika pale unapohitajika.Ipo pia hata gesi ya kukuyeyusha,achilia mbali mafuta ya break ya kulainisha threads zako endapo zinakutu.
...........................