Nimefanya mapenzi na Mwanamke wa JF!

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,239
113,612
Sabalkheri wana JF wenzangu. Natumaini wote mlikuwa na wikiendi njema kabisa na mmeamka Jumatatu hii wenye nishati nyingi za kutosha kuweza kuendeleza libeneke la kusukuma gurudumu la maendeleo la hii nchi yetu pendwa.

Baada ya takribani miaka minne na nusu hatimaye Jumamosi hii iliyopita nilishawishiwa kutoka na kwenda kiwanja kujirusha. Kwa zaidi ya miaka mitano mimi na kujirusha hatujawa beneti kihivyo. Lakini wikiendi hii nimevunja huo mwiko.

Basi bana sisteri mmoja wa hapa JF akanipigia simu ile Jumamosi jioni akinitaka tukutane New Maisha club (sijui ndio inavyoitwa hivyo...wenye kujua saidieni). Nikasita kidogo kwani kama nilivyosema mimi kujirusha sio zangu kabisa. Lakini kwa ajili yake nikakubali.

Nikajipiga sopusopu na baada ya hapo nikaingia kwenye mchuma huyo nikaenda kumpitia. Nikamkuta naye kajikwatua kwelikweli...naona hakutaka mchezo siku hiyo. Akaingia kwenye mkebe nami nikapiga moto chini. Nadhani allipenda cologne niliyokuwa nimepakaa maana usiku mzima hakuacha kunipa compliments....'mmm jamani Ngabu unanukia vizuri...umepakaa nini?'....'Aaah nimepakaa Cartier Roadster Sport exclusive kutoka Nieman Marcus'....akasema kwa mshangao 'wee Ngabu sikuwezi...yaani hata cologne unanunulia Nieman Marcus!!'

Kuifupisha hadithi ndefu, tukaingia zetu hapo Maisha. Tukajirusha....vinywaji vya hapa na pale...yeye ni mpenzi wa Long island iced tea na mimi mtu wa bia tu. Basi tukafurahia usiku wetu halafu tukaondoka. Alikuwa kachoka na hakutaka nimrudishe kwake. Basi tukaenda wote kwangu.

Tukafika nyumbani tukaenda moja kwa moja chumbani. Tukachojoa mavazi tukapanda kitandani. Mara mwenzangu akaniambia anasikia baridi....mwanamume nikajua leo hapa kitu na boksi. Basi nikaanza kumtomasa tomasa hapo na jambo moja likapelekea jambo jingine na hatimaye nikajikuta niko juu ya kiuno chake na kilichofuatia baada ya hapo tumia imagination yako.

Shughuli ikawa ndio imeanza kukolea sasa. Mazee nilikuwa nagusa engo zote...kaskazini, kusini, mangharibi (sio magharibi), mashariki, kaskazini mangharibi, kusini mashariki...yaaani wewe acha tu. Mashine yake ilikuwa bomba sijapata kuona. Inavyoelekea ilikuwa haijapenyezwa kwa muda maana kitu kilikuwa taiti.

Sasa wakati karibia nafikia kilele mara ghafla bin vuuu nikaamka toka usingizini bana. Baada ya kutahamaki nikagundua kumbe nilikuwa ndotoni bana....aisee niliudhika sana na nikabaki kufyonya na kutukana. Yaani yale maraha yote kumbe nilikuwa naota bana...aaah basi hata kulala sikuweza tena. Ikabidi niamke tu nianze kuangalia tivii na ku-browse JF.

Hiyo ndio ilikuwa ndoto yangu ya usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili. Narudi zangu kwenye maboksi na tutaonana tena mwezi Oktoba nitakaporudi kutumia haki yangu ya kikatiba siku ya 31 mwezi huo.
 
mmmh Nyani Ngabu sikutegemea hii Post inaweza toka kwako..Ningependa kujua how old are you broda ?:confused2:
Nia vyema sana ulikuwa unaota ingekuwa kweli ungetwambia pia???

Teen age ha ha haaa
 
Kwa nini hukutegemea? Kwani ni post mbaya sana? Si ni ndoto tu jamani....au wewe mwenzangu huotagi usiku ukiwa umelala?

hahahaha hehehe naotaga lakini unajua nimecheka harafu basi ingekuwa inatoka kwa samsom Mfulila sijui nani sawa lakini wewe..:A S 39: Ingekuwa kweli ungetwambia?
 
Nia vyema sana ulikuwa unaota ingekuwa kweli ungetwambia pia???

Ooh come on lady...loosen up....hivi kweli kwa akili yako unadhani ingekuwa ni kweli imetokea hivyo ningekuja hapa kuandika? Hebu itumie vizuri hiyo cerebral cortex ya ubongo wako bana aaaah

Hii ni ndoto tu....kwa hiyo kuota nimeota kweli ila tendo lenyewe halikutokea katika real time....
 
Ooh come on lady...loosen up....hivi kweli kwa akili yako unadhani ingekuwa ni kweli ningekuja hapa kuandika? Hebu itumie vizuri hiyo cerebral cortex ya ubongo wako bana aaaah


hahahaha wewe unaona kabisa hii Blue monday sasa sijui huyo alikuwa Cheusimangala au Noname ?..
 
Kwa sie wataalam wa riwaya nilihisi utakuwa utunzi flani maana wakati naanza kusoma nilidhamiria kukoment uzuri wa mtiririko wenyewe. Kingine, nadhani demu mwenyewe ni yule Nyani Ngabu wa kike. Uwongo uwongo?
 
jana ilikuwa habari ya NN vs NN, nadhani ulienda kumwota huyo, bila shaka limoyo lako limemdondokea
 
Kwa sie wataalam wa riwaya nilihisi utakuwa utunzi flani maana wakati naanza kusoma nilidhamiria kukoment uzuri wa mtiririko wenyewe. Kingine, nadhani demu mwenyewe ni yule Nyani Ngabu wa kike. Uwongo uwongo?

NN wa kike ndiye yupi huyo? Naomba nijuze maana mie simjui...
 
Kwa nini hukutegemea? Kwani ni post mbaya sana? Si ni ndoto tu jamani....au wewe mwenzangu huotagi usiku ukiwa umelala?

inalekea hukupiga bao kwa nini ulichukia baada ya kujua ndoto-kama ndivyo pole swahiba
Kama ulipiga bao mwake tu babake raha ni raha iwe ndotoni ama uko macho.
ok ndio hivyo malimwengu sijuhi ndio ndoto kweli au hadithi za kusadikika ,muda uende weekend iishe
 
NN, you made my week start very fine....
Sikujua kama na wewe umo kwenye hizi anga...

Let me share this "TO MAKE A GREAT DREAM COME TRUE, THE FIRST REQUIREMENT IS AGREAT CAPACITY TO DREAM; THE SECOND IS PERSISTENCE AND BELIEVING I GOD. EVERYTHING IS POSSIBLE..."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom