Nimechezea za mbavu leo

Hizo Sentensi ulizoandika aisee siwezi mie wewe kweli unatongoza ile tulikuwa tukijuaga tukiwa watoto ndio tulijua utongozaji huo Mimi siwezi aise

Kutongoza kwangu Kama naona demu mkubwa kidogo na anajielewa natumia misamiati mingi ya Kama TUJENGE MALENGO, NI NATURE, MUDA NDIO HUU nk

Ila kiujumla hakuna fomula kabisa kutongoza
 
Age yake Ni 17-19 mkuu haizid hapo ko lazma uongo uwe mwingi tu
 
Kwa ninavyoona huyu Sarah anakudharau... itakuwa kuna kitu huna mfn hela, status nk, haoni future btn u 2, pia she is in serious relationship....au alishatendwa yupo kwenye recovery mode... achana nae...

Another mistake ulikuwa na haraka sana na maneno mengi.. wenzio hatufanyi hivyo... unauliza umekula? Kabla hajajibu salio linasoma anaishia kukushukuru... then unampotezea mpaka akutafute...akipiga hupokei unamsomesha tena salio.. na short msg ..nipo busy nikiwa free nakucheck....

Sasa maelezo ya huu utongozaji ya kitoto lazima tetere akuponyoke....

Ushauri....muda huu unaopoteza kumwazia mtu anaekudharau ungeutumia kupanga issue za mkwanja... ungekuwa na cha maana kichwani.
 
Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.

Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo..

Leo nilivyokutana nae,sikusita kuomba namba na kukumbushia mawili matatu,namba nilipewa.
Nimekaa nimetulia jioni ya leo nkaona nimchombeze tena kanitolea nje....
Wataalamu wa rada,mabaharia wapi nimekosea..
Nimepanga kumpotezea sema nimekuja kuchukua madesa incase fursa nyingine ikipatkana..
Au niongeze utundu gani nmnase Leo tumeishia apo.

No greater love#
What a simp amekuwa keki kwani

Kaa kiume bro acha kulialia
 
We jamaa maliza kwanza Shule hayo mambo utayakuta tu.
 
Back
Top Bottom