Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Mbona wengi tu tunamchukia Magu huku kusini kila mtu anajua Magu alipokonya hela za mfuko wa kuendeleza zao la korosho akaenda kujenga airport Chato
 
Siku sio nyingi hata kama sio ww au watu Wako wa karibu wataoza na kuliwa na minyoo pia
Hatuwezi kuacha kusema vutendo viovu vya Magufuli eti kwa sababu tutakufa na kuliwa na minyoo. Hapana ule UFEDHULI usirudi tena nchini kwetu
 
Hatuwezi kuacha kusema vutendo viovu vya Magufuli eti kwa sababu tutakufa na kuliwa na minyoo. Hapana ule UFEDHULI usirudi tena nchini kwetu
Vp kiroboto hali yako ya maisha imebadilika sasa ee kichwa kikubwa kimejaa udongo
 
Vp kiroboto hali yako ya maisha imebadilika sasa ee kichwa kikubwa kimejaa udongo
Japo siyo kiroboto ila Nina maisha mazuri yenye amani kuliko DIKTETA alivyokuwa hai. Sina wasiswasi wa kutekwa na WASIOJULIKANA wala siogopi kueleza maoni yangu kwenye mtandao
 
Dkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.
Nakuelewa mkuu nadhani Hata Tundu lisu kwasababu ya Uislamu wake ilipelekea kukosana na Magufuli na hata JPM kupelekea kumshambulia, bahati mbaya Mungu si wa wakristo, akamnusuru muislam yule bwana Tundu
 
Back
Top Bottom