Nimebadlilisha ID

Esperance

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
364
84
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.
 
Wapendwa Nazjaz na Inkoskaz mmenichekesha sana , jion imekuwa nzuri.
 
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.

ni vyema kutujulisha, kuna wengine wanabadilisha kimya kimya hatuwaoni tena wao wanatuona, kama vile bubu msemahovyo jamani alibadili jina au alikumbwa na Tsunami??
 
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.

Umebadilisha vp mana nilishajaribu kuongezia sam singi kwenye hili langu nikachemka.
 
mwajuma anataka aitwe mwa jei
hahaha! ni vizuri sana, vipi tumbo hilo litakuwa level lini? nna zawadi hapa tujulishane mdaukishafika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom