Nimeathirika kununua makahaba sasa nataka kuacha

mwanangu usiache wala nini mm ndio zangu hizo...mchezo mtamu mno kila siku nanunua demu mpya napiga kamoja alafu ndio narudi home kwa wife hata akininyima poa tu
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25... hapo mwanzo nlikuwa na mpenzi wangu bahati mbaya mwaka jana mnamo august tukaachana.. sasa kwa hasira nkaanza tabia ya kutembea na makahaba. siku ya kwanza ilikuwa itigi sehemu maarufu sana morogoro.nikiwa pale nilikaa peke yangu nikiwaA hili na lile mara akatokea dada poa mmoja akaniuliza km nlikuwa nataka huduma,kwanza nlikataa ila alinibembeleza akaniambia elfu kumi kwa bao moja na gharama ya gest juu yake ikabidi nkubali tukaenda..sasa baada ya hapo ikawa ndo mchezo wangu nkijisikia tu naenda kupata cha fasta narudi home. kivumbi nliporudi dar ikawa ndo tabia yangu sasa tabia hii naona imekithiri mpaka inafikia siwezi kukaa siku tatu bila kwenda kununu.naombeni ushauri nifanye nini ili niache maana naona ni tatizo maana nimejaribu kuwacha nimeshindwa...

Kuna makaka poa pia ''GAYS'' Embu jaribu halafu uje kutupa feedback.
 
Soon utanunuliwa na wewe sababu kuna wanaume walioathirika kununua wanaume wenzao! Get prepared U fool.
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25... hapo mwanzo nlikuwa na mpenzi wangu bahati mbaya mwaka jana mnamo august tukaachana.. sasa kwa hasira nkaanza tabia ya kutembea na makahaba. siku ya kwanza ilikuwa itigi sehemu maarufu sana morogoro.nikiwa pale nilikaa peke yangu nikiwaA hili na lile mara akatokea dada poa mmoja akaniuliza km nlikuwa nataka huduma,kwanza nlikataa ila alinibembeleza akaniambia elfu kumi kwa bao moja na gharama ya gest juu yake ikabidi nkubali tukaenda..sasa baada ya hapo ikawa ndo mchezo wangu nkijisikia tu naenda kupata cha fasta narudi home. kivumbi nliporudi dar ikawa ndo tabia yangu sasa tabia hii naona imekithiri mpaka inafikia siwezi kukaa siku tatu bila kwenda kununu.naombeni ushauri nifanye nini ili niache maana naona ni tatizo maana nimejaribu kuwacha nimeshindwa...

tafta demu wa permanent!
 
mwanangu usiache wala nini mm ndio zangu hizo...mchezo mtamu mno kila siku nanunua demu mpya napiga kamoja alafu ndio narudi home kwa wife hata akininyima poa tu

Ni Sifa au? Unamletea mkeo too much demons aaagghhhrrr .. Unahitaji maombi honestly si bure .. Thanks ..
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25... hapo mwanzo nlikuwa na mpenzi wangu bahati mbaya mwaka jana mnamo august tukaachana.. sasa kwa hasira nkaanza tabia ya kutembea na makahaba. siku ya kwanza ilikuwa itigi sehemu maarufu sana morogoro.nikiwa pale nilikaa peke yangu nikiwaA hili na lile mara akatokea dada poa mmoja akaniuliza km nlikuwa nataka huduma,kwanza nlikataa ila alinibembeleza akaniambia elfu kumi kwa bao moja na gharama ya gest juu yake ikabidi nkubali tukaenda..sasa baada ya hapo ikawa ndo mchezo wangu nkijisikia tu naenda kupata cha fasta narudi home. kivumbi nliporudi dar ikawa ndo tabia yangu sasa tabia hii naona imekithiri mpaka inafikia siwezi kukaa siku tatu bila kwenda kununu.naombeni ushauri nifanye nini ili niache maana naona ni tatizo maana nimejaribu kuwacha nimeshindwa...

Dear Fanya maamuzi angali afya yako ni nzima . You need deliverance . Kwa Yesu yanawezekana . Thanks.
 
Hili lishakuwa paka shume haliwezi kuishi na mke! kama limeshindwa kuwa na girlfriend kwa mwezi linanunua mara 3! what to expect? Nunua tu hivyo hivyo mpaka ukutane na Mwalukanga (hiv)
we jamaa km huna ushauri ni bora ukanyamaza sasa mtu anaomba ushauri we kejeli nyingi... ok we uliye msafi mungu akuepushie na hili balaa
 
Back
Top Bottom