Nimeanza kuamini Akuffor ni habari nyingine

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Leo ngoja niibukie kivingine kidogo,nafikiri kwenye ukweli wacha tuongee ukweli,kuna kila dalili kuwa Watani zetu (Simba S.C) wamelamba dume kwa usajili wao walioufanya dakika za lala salama hasa mshambuliaji Mghana Daniel Akuffor,binafsi sijawahi kumshuhudia akicheza lkn record yake ya upachikaji mabao kama ambavyo nimekuwa nikiisoma kwenye vyombo vya habari vinavyo'report mwenendo wa maandalizi ya Watani zetu kule Arusha ni dhahiri kabisa he is by far better than Sunzu, wakati Sunzu anaweza kucheza mechi 10 kama Simba isipopata penalt akapewa apige anaweza kuzimaliza bila kufunga hata goli 1,Akuffor yeye katika mechi 4 za kirafiki ambazo ameshaichezea Simba ametupia mechi 3,hii ni dalili nzuri kwa Mshambuliaji, he even looks better than Kavumbagu wetu but he will need to work hard to be better than Mzawa wetu Side Bahanuzi "Spiderman".
 
Mkuu

weweunaonekana ni analytical shabiki, nakupongeza sana BUT pia uangalie magazeti yetu ya bongo unakumbuka yalivyompamba Ally Ahmed Shiboli? huyu jamaa yafaa umuangaie live mechi mbili tatu hivi ndio u-judge, binafsi na-reserve my comments.......sisi ambao tumecheza mpira kufunga inategemea sana angalia jinsi walivyompamba Samata, lakini tazama na video yenyewe, mpishi mkuu pale ni Mfamle Mputu, Samata pamoja na kwamba namtakia heri sana toka moyoni amekua akimalizia tu kwa hiyo hadi uone ana ya mabao anayofunga...huyu dogo Bahanunzi juzi alikua chni ya kiwango sana. aangalie huenda amelewa sifa.......
Leo ngoja niibukie kivingine kidogo,nafikiri kwenye ukweli wacha tuongee ukweli,kuna kila dalili kuwa Watani zetu (Simba S.C) wamelamba dume kwa usajili wao walioufanya dakika za lala salama hasa mshambuliaji Mghana Daniel Akuffor,binafsi sijawahi kumshuhudia akicheza lkn record yake ya upachikaji mabao kama ambavyo nimekuwa nikiisoma kwenye vyombo vya habari vinavyo'report mwenendo wa maandalizi ya Watani zetu kule Arusha ni dhahiri kabisa he is by far better than Sunzu, wakati Sunzu anaweza kucheza mechi 10 kama Simba isipopata penalt akapewa apige anaweza kuzimaliza bila kufunga hata goli 1,Akuffor yeye katika mechi 4 za kirafiki ambazo ameshaichezea Simba ametupia mechi 3,hii ni dalili nzuri kwa Mshambuliaji, he even looks better than Kavumbagu wetu but he will need to work hard to be better than Mzawa wetu Side Bahanuzi "Spiderman".
 
ndo maneno yenu wabongo haya! akifurunda tu mechi na watani wa jadi, mnaanza ooh kahongwa,mara aondoke. shame on bongo soccer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom