SOLD: Nimeamua Kuuza Tv Yangu 43 Inch Smart Tv Skyworth

Kuna Tv inaitwa Skyworth?
Anyway kila la kheri
Dah aseee kuna mda bora ukae kimya
1595238454346.png
 
Either uuze kwa asara bei kama 400K_500K ili upate pesa kwa wakati kutatua tatizo.

OR ung'ang'ane na hiyo bei utauza miezi 8 baadae huko.
 
Ni Japanese Volume, bado mpya kabisa, Ina features nyingi sana.
Price : 700,000 maongezi yapo

Niliweka tangazo langu humu nikihitaji msaada wa kukopeshwa kiasi cha pesa kwa dhamana ya vitu vyangu. Lakini nikakosa na waliojitokeza ni kama hawakuwa tayari pia, nimeamua kuuza TV yangu ambayo naipenda sana na naumia kuiuza lakini sina namna zaidi ya kufanikisha jambo langu.

Ukihitaji TV nipigie : 0682378102

View attachment 1511615View attachment 1511616View attachment 1511618
chukua mia tano
 
Kuna Tv inaitwa Skyworth?
Anyway kila la kheri
From experience,

Skyworth
Ni MOJAWAPO ya kampuni kongwe Sana barani ulaya.

Tena
Tv zao Ni Orijino na Expensive Sana.

Ndo maana Ni nadra Sana kuzikuta huku kwenye soko letu la dunia ya tatu

Ila zinauzwa uko Ulaya kwa watu mashuhuri.

Yuko daraja Moja na SONY, PANASONIC na HITACHI.

Hata LG au Samsung hawatii maguu KWENYE hizi tv.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom