Nimeamua kujiajiri kwa kuandika katiba za kampuni, taasisi, vyama nk.

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Ndugu,
Nimeamua kujiajiri kwa kuandika rasimu za katiba za kampuni, taasisi kama NGO's, vyama vya siasa, michezo nk.

Hali ni ngumu naomba kwa wadau na wateja mniunge mkono.

kwa kuanzia nitakuwa natoa offer kwa bei poa kabisa,

mawasiliano. unaweza ukaniPM au kuniandikia kupitia

baruapepe: Ngonyanishukuru@gmail.com

simu: 0754 509 869
 
Brother, don't sympathise, Do it with courage if you can. Any business is tough these days, you have to be strong otherwise you will be eaten alive.
 
Una utalaamu wa kutosha? au umejiingiza kwenye kazi hiyo kwa ajili ya kukosa ajira? Weka CV yako hapa kwanza halafu uone watu tutakavyomiminika kukutafuta.
 
Back
Top Bottom